Wakuu,heshima mbele!
Nina I phone 3G, baada ya kuwa slow sana nikaomba ushauri kwa fundi mmoja, akaniambie ni i reset na kufuta contents zote.Nimecommand reset, tangu jana....mpaka sasa imedisplay tu logo ya apple juu na hakuna kinachoendelea..
Je nifanyeje hapo!