.......
natumia modem ya voda, juzi nimeinstal window3 lakin inagoma kufungua internet,......
Hii window 3 bado haija anza kutumika huku duniani na dhani ni vema uka wasiliana na huko huko kuzimu wata kupa msaada zaidi juu ya hili.Nnamatumain muwazima wana jf,
natumia modem ya voda, juzi nimeinstal window3 lakin inagoma kufungua internet, tatizo laweza kuwa n nn? msaada wenu wapendwa.
Mkuu Window3 ndio ipi?
Hii window 3 bado haija anza kutumika huku duniani na dhani ni vema uka wasiliana na huko huko kuzimu wata kupa msaada zaidi juu ya hili.