Msaada Internet kwenye PC

Msaada Internet kwenye PC

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,106
Reaction score
357
Natumia LAN kupata internet kwenye pc yangu ya DELL, wiki moja sasa nikitaka kuingia kwenye mtandao inaniambia ni login kwenye Cyber Captive Portal ambayo mimi siifahamu. Inaniletea kiwindo ilinijaze.

Naomba msaada kwa naefahamu hiki ni kitu gani niweze kuitoa ili niendelee kupata internet. nitaweka picha yake hapa .
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    174.4 KB · Views: 147
sijaelewa haswa shida yako, Nikupe ushauri mdogo kama utamudu kufanya.

Na kwa bahat mby simu yangu haina uwezo kufungua hiyo picha.

LAN kwa vyovyote unatumia cabre, na ni vema ukaiset ifungue automatic.

Hapo kulia kwako, kuna hiyo icon inayokuonesha connection uifungue ikupe Full Connection.
 
Nimeiset ifungue auto mkuu,ngoja nione hiyo ya pili ulio isema kwenye sentensi yako ya mwisho.
 
Wewe utakuwa unatumia internet ya bure ofisini kwenu, shuleni n.k

Sasa imewekwa kizingiti cha Cyberoam ambapo inazuia wapenda vya bure...

Hapo hutaweza kukatiza hadi upewe akaunti na neno siri...
 
Sawa mkuu watu8, ni ofisini lakini wengine wanstumia bila kizuizi unachokisema. Ahsante kwa mawaZo
 
Back
Top Bottom