snipa Unaonaje ukafanya ku-screeshot/print screen hiyo dashboard ya JF then after ukaingiza kwa Photoshop then kwa kutumia "Eye Droper" tool ukafanya color sampling.. kingine kumbuka kuwa umaweza ukatumia gradient tool kupata matokeo mazuri zaidi kwa kuchanganya rangi mbili kuu unazoziona kwenye hizo graphics..