Msaada Instagram nashindwa ku comment habari za biashara

Msaada Instagram nashindwa ku comment habari za biashara

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Naombeni msaada kila nikitaka kucomment nashindwa yaani nazuiliwa kucomment habari za biashara inakataa ila nicomment kingine kina kubali nini tatizo itakuwa

Screenshot_20200517-100637.jpeg
 
Andika kwa kiswahili kama ulivyofanya kwenye huu uzi. Hahah
 
Back
Top Bottom