Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,065
- 43,496
pengine mkuu. fanya hio system restore.Duh...nahis kutakuwa na virus anaye kula!!
Iobit nayo "stopped working "
alternative boot kwa safe mode halafu scan pc na antvirus, ikiwa safe mode kirusi kinakuwa hakina nguvu itakuwa rahisi kukitoa.
