Msaada idm na browsers

Nyankuru

Member
Mar 18, 2016
26
8
Ninatumia IDM kwa ajili ya kudownload file mbali mbali kwenye browser.....
÷Nimewasha computer nikapata notification kuwa "IDM has crushed"..
÷chakushangaza zaidi browser zote nazo hazifanyi kazi...nime uninstall IDM lakini bado browsers hazifanyi kazi! !!
1521439598116.jpeg
1521439662900.jpeg
 
...nime restart tatizo bado
÷nime unistall mozila fire Fox
÷kwenye ku uninstall browser nyingine ndo inanipa notification "chake online for a solution"..nikikubali hairudishi majib
nimecheki online seems kuna version ya zamani ya idm inafanya hivyo. uki update kwenda version mpya itatatua tatizo.

kuhusu hizo browser jaribu kustart internet explorer version isio na addons uone kama itacrash nayo, isipocrash inamaana itakuwa ni addons ya idm ndio inasababisha hivyo, itabidi ufanye full uninstall ikiwezekana irudishe idm kisha ndio ufanye full uninstall.

tumia software kama revo au iobit un installer itatoa software na makorokoro yake yote kwenye pc.
 
...Poa poa ngoja nijaribu kufanya hivyo ,,maana internet explorer haijazingua...
Nilidownlod Adobe kupitia explorer..kwenye kuinstall ndo ikazingua
 
Mkuu kama unatumia browse kati ya Mozilla au chrome sikuhizi kuna njia rahisi kabisa ya kudownload vitu bila software...
Mfano ukitaka kudownload videos fuata steps zifuatazo
1: nenda google andika " download video as mp4"
Hapo utakupeleka kwenye links za adds ambazo zitaku direct kuistall according to the browser unatumia
2:baada ya kuinstall restart browser then nenda kafungue video unayotaka play. Hapo kwa chini utaona kitufe cha kudownload uki click itakuletea video quality options. Then chagua unayo taka click
 
Inagoma ku uninstall ..inatoa notification "chake online for a solution problem "
 
nimecheki online seems kuna version ya zamani ya idm inafanya hivyo. uki update kwenda version mpya itatatua tatizo.

kuhusu hizo browser jaribu kustart internet explorer version isio na addons uone kama itacrash nayo, isipocrash inamaana itakuwa ni addons ya idm ndio inasababisha hivyo, itabidi ufanye full uninstall ikiwezekana irudishe idm kisha ndio ufanye full uninstall.

tumia software kama revo au iobit un installer itatoa software na makorokoro yake yote kwenye pc.
...jana sikufanikiwa ,,,nilipojaribu ku install iobit nayo ikafel saizi pia hadi adobe nayo imefel kufanya kaz
Kama una set-up ya chrome in your pc uninstall kwanza hiyo chrome then restart pc halafu install upya tena the same chrome set-up
 
...jana sikufanikiwa ,,,nilipojaribu ku install iobit nayo ikafel saizi pia hadi adobe nayo imefel kufanya kaz
kama inakushinda kabisa restore to earlier point.

click start kisha search system restore halafu ifungue angalia kama kuna restore point kisha irudishe pc yako wik8 mbili au mwezi uliopita kipindi haina tatizo.
 
Shukran!
Nime unistall IDM ndo Iobit imekubali installation. . Then nime uninstall browser zote zilizo zingua !
 
Back
Top Bottom