Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Kama mtu ameamua kutumia windows xp basi kwa sasa ajitahidi iwe ni sp3, lakini pia hii ya 2006 ambayo nadhani ni ile wameiandika na kuinadi kama ni "Advanced Security and Drivers" si windows nzuri kabisa hasa kwa asiye advanced user, kuna windows xp sp3 moja kama sikosei ni LENOVO yenyewe huwa ina drivers zake kabisa humo humo ikimaliza kufanya installation ya windows basi mwishoni inafunga drivers, ni nzuri hii.
Hizi IBM (International Business Machine) niliziona mwaka jana mwezi wa nne zilipotua k/koo, ukweli muuonekano wake na bei zake lazima zikushawishi lakini nilizishtukia tangu siku ya kwanza, inawezekana zipo nzuri kweli lakini hizi zilizokuja huku ni bomu na kwa matumizi yetu ndiyo kabisa haziwezi.

Desktop, win xp2 2006