Msaada: IBM inanitoa jasho.

Msaada: IBM inanitoa jasho.

Alafu We Jamaa Uwe Na Lugha Iliyostaarabika
Sio Unaropoka Tu!
Hapo Ukilaza Wangu Uko Wapi?
Nililomshauri Halieleweki?
Yaani Ukome kabisa...Tena Usome Yakuingie...U.K.O.ME
Maana Ukiongeza Neno... Ukilaza Wangu Halisi Utakudhuru!

Hahaha madhara ya shule za kata haya
 
Mkuu, kuna uwezekano hiyo machine bado ni nzima kabisa, bluescreen haina maana moja kwa moja kuwa hdd imekufa, mimi ilishanitokea mara kadhaa na wala sijawahi badili hdd.

Inawezekana:
1.CD unayotumia kufanyia installation imechoka
2.Haujaziset BIOS vizuri kuendana na mode of booting unaotumia
3.Jaribu pia ku-disconect externals i.e printers, fax etc
4.Turn off or dissable automatic plug and play.

Ukishindwa nitafute nije nikusaidie.

Ilianza na tabia ya kuganda katikati ya kazi nikabadilisha Heat sink
sasa imekuwa haitaki kufungua Window, hata ukifanya Installation
ikifika sehemu ya SET UP IS STARTING WINDOW inaganda hapo
nimejaribu njia nyingi some times inaniletea bluu screen nifanyeje?.

Yaani ikifika sehemu ya kufungua Window tu hapo
ndo inaganda. Msaada waungwana.
 
Ahsante sana mkuu Fadhili Paulo wewe ni mmoja wa watu muhimu ktk hili jukwaa, hakika umeongea yanayostahili, sio hawa wengime ni kuendeleza mipasho isiyo na tija yoyote kwa mtuma uzi pamoja na wengine wenye matatizo kama hayo..

Mizahaa imetawala kwenye hili jukwaa kuliko misaada ya kiufundi.
 
sema wakubwa ivi window 8 inaingia kwenye mashine gan?

Inaingia kwenye mashine yoyote kuanzia P4 na kuendelea ila mashine yako inahitaji iwe na:
HDD angalau 16GB free space
RAM angalau 1GB
DVD ROM (internal or External)
Proceccor 1Ghz na kuendelea.
 
Kadri mda unavyoenda kama moderators hawatakua makini nadhani humu patakua kama sokoni. Hata kauli mbiu ya jukwaa ya Great Thinkers itakosa tena maana. Kuna watu wanaona hapa ndo sehemu ya kuja kutoa mauchovu yao kwa kuongea madudu na mipasho kuliko kuleta hoja za msingi.
Hatujengi na hatutafika mbali.
Kama huoni cha maana cha kuchangia nashauri usome kisha upite tu. Hautaumwa!
Kuendelea kujilazimisha kujibu kisichoeleweka kunatufanya tupate picha halisi ya jinsi ulivyo na madudu uliyobeba kichwani hata kama umejificha kwa jina bandia bado utabaki kua wewe tu!.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ahsante sana mkuu Fadhili Paulo wewe ni mmoja wa watu muhimu ktk hili jukwaa, hakika umeongea yanayostahili, sio hawa wengime ni kuendeleza mipasho isiyo na tija yoyote kwa mtuma uzi pamoja na wengine wenye matatizo kama hayo..

Mizahaa imetawala kwenye hili jukwaa kuliko misaada ya kiufundi.

Nakukumbusha Tena Kuwa Hii Sio Sehemu Ya "Mizaha" Wala "Mipasho"
Na Kama Unaona Ushauri Wako Ndio Unaofaa Basi Anzisha Forum Yako Uwe Unashusha Huo Unaodai Sio "Ukilaza"!
 
Kadri mda unavyoenda kama moderators hawatakua makini nadhani humu patakua kama sokoni. Hata kauli mbiu ya jukwaa ya Great Thinkers itakosa tena maana. Kuna watu wanaona hapa ndo sehemu ya kuja kutoa mauchovu yao kwa kuongea madudu na mipasho kuliko kuleta hoja za msingi.
Hatujengi na hatutafika mbali.
Kama huoni cha maana cha kuchangia nashauri usome kisha upite tu. Hautaumwa!
Kuendelea kujilazimisha kujibu kisichoeleweka kunatufanya tupate picha halisi ya jinsi ulivyo na madudu uliyobeba kichwani hata kama umejificha kwa jina bandia bado utabaki kua wewe tu!.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ni Kweli Kabisa..
Wahusika Wamekusoma Mkuu!
 
Samahani waungwana umeme ulkikatika nimekuta michango mingi humu nashukuru
sana kwa ile misaana ya kitaalamu. Mimi situmii tena PC ya IBM tena P4 huwa
ninafurahi tu inapoharibika pc ya mtu nipate changamoto ya kutafuta solution.
 
Ilianza na tabia ya kuganda katikati ya kazi nikabadilisha Heat sink
sasa imekuwa haitaki kufungua Window, hata ukifanya Installation
ikifika sehemu ya SET UP IS STARTING WINDOW inaganda hapo
nimejaribu njia nyingi some times inaniletea bluu screen nifanyeje?.

Yaani ikifika sehemu ya kufungua Window tu hapo
ndo inaganda. Msaada waungwana.
GAZETI

Ni Notebook or Desktop? Make/Model gani? Windows OS ipi? labda tuanzie hapo...!
 
Last edited by a moderator:
GAZETI

Ni Notebook or Desktop? Make/Model gani? Windows OS ipi? labda tuanzie hapo...!

Samahani waungwana umeme ulkikatika nimekuta michango mingi humu nashukuru
sana kwa ile misaana ya kitaalamu. Mimi situmii tena PC ya IBM tena P4 huwa
ninafurahi tu inapoharibika pc ya mtu nipate changamoto ya kutafuta solution.

Kwa maelezo haya bila shaka ni Desktop pentium 4 na OS ni Window XP sp1,2 or3
 
Samahani waungwana umeme ulkikatika nimekuta michango mingi humu nashukuru
sana kwa ile misaana ya kitaalamu. Mimi situmii tena PC ya IBM tena P4 huwa
ninafurahi tu inapoharibika pc ya mtu nipate changamoto ya kutafuta solution.
Hapo Mkuu GAZETI nimekulewa kuwa ni PC ya mtu na kwa ushauri IBM ni mashine ya kimarekani na haifai kabisa na zipo hapo Mtaa wa Msimbazi na (sikumbuki vizuri km ni Swahili) jirani na jengo moja la Vioo vya Blue utawakuta Wachina, wanaziuza 90,000/= zikiwa na HDD 40GB, RAM 128MB, na Processor 2.80GHz (P4) kwa hiyo wanachofanya hao Wachiana wanai-up-Grade km kuongeza chochote
Mimi baada ya kukaa na hp laptop nikaona kwa jamii Forum ni lazima niwe na angala PCU & VDU nikaenda nunua hapo kwao lile wiki la 7 7 ya 2012 (Julai mwanzoni mwaka jana) yaani haikuchukua miezi 2 August ikafa Mother body sehemu ya Capacitor (ziko km 4 ) na baada ya kuzirepea wakagundua na processor imekufa
Fundi akanishauri ninuue DELL na mpaka leo haichoki kwani IBM haiwezi kuhimili zaidi ya 24hrs lazima itachemsha na hata muundo wake humo ndani ni wa kizamani na ndio maana bei yake ni cheap.
Kama unavyofahamu Jamii forum ikianza kushonana habari huwezi toka 24 na IBM inatakiwa ipumzike
Kwa ushauri hiyo IBM bado ni nzima, hasa hizo HDD, nk tatizo ni ile motherbody (circuitbody) watamuuzia na kumtengenezea haitafika 30,000/ lakini watamshauri atafute kitu ya bei na imara km vile DELL, hp nk
Hiyo IBM awaachie watoto au katika Stationary mikikimiki ya 48hrs ya humu JF haiwezi asilani
 
Last edited by a moderator:
Desktop, win xp2 2006
Kaka angalia hiyo IBM ina kawaida ya kubadilika na kugandaganda
sana ni mashine ya mmarekani kweli si mzuri kama mwenye COMPUTER
siyo muelewa unaweza kugombana nae bure, haichelewi mara kimeharibika hiki
ukifanikiwa kinakuja kingine mwambie awape watoto wachezee sio
computer ya kazi ofisi nyingi ambazo walinunua wamezibwaga kama
sisi hapa kwetu zipo stoo hakuna anayezitaka.
 
Bila shaka hizo IBM mnazozizungumzia ni za kichina kwani IBM ni mashine inayouzwa ghali zaidi kuliko DELL au HP na huwa inadumu mda mrefu bila kuzengua.
Mimi binafsi nina IBM niliyoinunua mwaka 2000 na mpaka leo inafanya kazi, nilichowahi kurekebisha ni kuongeza RAM,HDD na kubadili OS toka Window 98 na kuwa XP sp2.

Mkuu GAZETI hata siku moja usikubali pc ikushinde, umiza kichwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo, kwa kufanya hivyo kutakufanya ujifunze mengi na kugundua mengi.
Mambo yakiwa magumu njoo hapa JF, kuna watu ni vichwa humu, mi nilikuwa najiona mkali wa pc ila kuingia humu nikajiaona niko chekechea.
Ila naishukuru sana JF imeniongezea knowladge.
 
Ndugu yangu humu JF hakuna Member atakayeshauri mtu atumie PC za mwaka 1995 hadi 2000 (Y2K Millenium) sasa hivi haiwezi kuingiza Programe zozote ziwe za Window 7 au kuongezea RAM
Wako wataalam km kina CALVIN Power RGforever na wengineo siamini km watakubaliana na Mmarekani IBM au Apple kuwa anafaa kwa mitulinga ya 48hrs na Programe za 2013
Halafu GAZETI alisema "Mimi situmii tena PC ya IBM tena P4 huwa
ninafurahi tu inapoharibika pc ya mtu nipate changamoto ya kutafuta solution.
Hilo li-IBM lina Diode na Capacitor za kizamani ambazo hazipo tena katika soko ila ni zuri la kufuindishia hasa kwenye Vyuo vya Computer nakuomba tafuta Mashine ingine km ni mkeshaji wa kwenye Computer au Jamii Forum
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom