Mkuu tafuta msaada wa kiroho utakusaidia yaani namaanisha umpokee Yesu na ikiwezekana nenda kwenye kanisa lililo karibu nawe linaloweza kukupa msaada wa kiroho naamini hapo Arusha hayo makanisa yapo.
Hicho kinachokusumbua ni mazoe mabaya na sasa imetengeneza spirit chafu so kwa maombezi utafunguliwa itabaki kua hadithi.
You are good in appreciating others, that's a good talent. Since you know your problem you have to avoid it and appreciate yourself after that. If you are determined to do you can. God bless you.
A towner nimetuma link hapo juu ya video, mwishoni kabisa utaona kaelezea how to overcome (iko kwa maandishi). Mungu na akusikie kilio chako na akupe haja ya moyo wako. Hakuna mtu ambaye hajawahi kumasturbate ila ni viwango tu ndio vimepishana na wengine ilikuwa unplanned na hawakuiendekeza hiyo tabia. Don't feel so bad.
As long as you want to change and you are determined, you can change.
weka nia kwanza.....utaweza....watu tulikuwa tunalala na vitaulo vya kujipangusia manii na tumequit,,,,,jipe moyo mkuu, utaweza...
Nimekuelewa sana hapo kwenye kutafuta cha kufanya ili kufidia muda naofikiria au kufanya hayo mambo. Asante sana
Hii lugha naamini ni ya Arusha mi nimetoka kapa...ngoja waje akina Preta watoe ushauri wanaoilewa vizuri lugha yako hii