Msaada: Huu ujumbe kwenye king'amuzi cha DSTV siuelewi

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Unasomeka hivi...

"Connection to the DSTV signal could not be established. There seems to be a problem with your installation. Please ensure that the LNB cable from the dish is connected properly. Also check your network settings if you are sharing a communal dish. Should the problem persist contact call center for further assistance"

Nimejaribu kuangalia cable zote kama hazijachomekwa vyema ila naona ziko sawa.... Msaada wadau hapa nimekosa hata kuangalia TPF khaaaa!!!!
 
Piga hizi # 0768 988 800 kwa maelezo zaidi.
 
Asante mkuu.... Inajibu kuwa hawaitambui hiyo namba!!

Pole sana kuna matatizo kati ya receiver yako na satellite. .hii usababishwa ba mvua sana maana hawa jamaa wanatumia KU band ambayo inakuwa affected sana na mvua. Leo mechi ya arsenal nimeitizama kwa shida sana pia. Unaweza kureboot receiver yako itascan upya na channels zitarudi kama hali ya hew imetengemaa...usk mwema...
 
Asante kwa ushauri mkuu... Ni kweli nyakati hizi kuna mvua sana hapa nilipo. Sasa kureboot ndo kufanyaje??
 
Labda dish limechezeshwa na upepo, hlf msimu wa mvua mawingu sana dstv huwa inasumbua.
Unasomeka hivi...

"Connection to the DSTV signal could not be established. There seems to be a problem with your installation. Please ensure that the LNB cable from the dish is connected properly. Also check your network settings if you are sharing a communal dish. Should the problem persist contact call center for further assistance"

Nimejaribu kuangalia cable zote kama hazijachomekwa vyema ila naona ziko sawa.... Msaada wadau hapa nimekosa hata kuangalia TPF khaaaa!!!!
 
Labda dish limechezeshwa na upepo, hlf msimu wa mvua mawingu sana dstv huwa inasumbua.

Natamani niwasaidie lakini hayo mambo ya dish sijui kitu. Zangu kisumbusi tu basi. Poleni sana.
 
Siku ya mvua inakuaga na shida kidg dstv ila yakwangu iko sawa
 
Mkuu Inkoskaz msaada tafadhali....
charminglady pole sana
kama umeona connection zote zipo sawa basi yaweza kuwa yafuatayo
1.Dish limecheza au kile kijicho chake(LNB)-Hii utahitaji fundi kualign
2.Mvua-Message ingedisplay temporarily wakati wa mvua na ingerudia kawaida baada ya mvua kukata
3.Setting za remote kuvurugika-bonyeza button ya TV[ipo juu kushoto] halafu hiyo highlight ya njano iscroll kwa kutumia up/down button mpaka kwenye"Dstv Ku Africa" then press ok!

Otherwise jihakikishie signal kama ipo kwa hatua zifuatazo
-Press Menu
-Scroll mpaka no 7 yaani Advanced Options na upress
-Nenda no 2 yaani Signal Detection uoress then angalia Signal level ipo ngapi perceant.if anything below 50% utahitaji assist ya fundi lakini fom fifty and above r na bado hupati picha rudi kukorokocha hizo step za awali
**Hata kuzima kabisa au kuchomoa wire wake wa umeme ili decoder iboot upya inaweza kusaidia kusolve tatizo.
All the best...

Last edited by a moderator:

Nashukuru Mkuu... Nitalifanyia kazi jioni nikirudi toka mizungukoni!
 
Ubarikiwe sana kwa kutoa elimu hii, maana hata mimi nimefaidika....
 
mkuu we hupo mkoa gani ? Nipe hilo dili mkuu. Dec njaa kali
 
Mi yangu ilinifanyia hivyo siku moja kumbe tatizo kulikuwa na ua limekua mpaka likafika kwenye dish so likawa linazuia LNB kubeem direct kwenye dish. Check kama kuna kitu chochote chaweza kuwa kinazuia hilo. Halafu namba zao za mobile hazifanyi kazi unless wao ndio wanakupigia.

Kama tatizo likiendelea seek technical assistance
 
Mkuu ni kweli, kuna mpapai ulikuwa umeikinga... Asante sana!!

Idumu Jamii Forums!!"
 
Back
Top Bottom