Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,718
2,000
Mtwara Smart jiwekee utaratibu wa kuanza kufanya mazoezi .. jiwekee utaratibu wa kuanza kucheki movies ambazo ni za comedy .jijengee utaratibu wa kuwa busy kuperuzi jf na Twitter ukifuata huo ushauri wangu vyema Huyo manzi utamsahau haraka Sana
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
20,928
2,000
Plz naomba mawasiliano ya huyo mchumba ako, nahitaji anipeleke kwa mtaalamu wake wa hilo limbwata, yaan hadi mama mkwe amelevya nalo mweeeh.
 
reg edit

JF-Expert Member
Oct 4, 2012
375
500
Msela kapenda malaya, noma sana!

Itakua uyo manzi ni pisi kali halafu uno feni... Lazima uchanganyikiwe.

Enewei, ukiwa kama clinician utakua unakutana na totoz nyingi nyingi. Omba namba mzee baba usiishi kinyonge. Ukiwa unaflirt na wasichana wawili watatu kipindi hiko unchopitia inasaidia angalau
 
Macomeni

Senior Member
Jan 20, 2021
101
250
Habari Zenu Wakuu;

Nipo Katikati Hali Fulani Ngumu Sana, Nimeliweka Hili Ila Sasa Nimeshindwa, Nahitaji Msaada, Tena Mkubwa Sana, Maelezo Yangu Ni Marefu Ila Naomba Soma Na Nishauri.

Nipo Kwenye Mahusiano Ya Huyu Binti For 10 Years Since 2011 Tulikutana Shule O Level Mjin Morogoro Akiwa Form 1 Mim Form 3, Kwao Dar Mim Moro, Mi Nikamaliza Shule Pale Nikaingia A Level Ila Yeye Bahat Mbaya Alivyomaliza Alifel Wakat Mim Ndio Naingia College Moja Ya Afya Huku Kusini.

MWANZO WA TATIZO

Kutokana Na Matokeo Yake Alijiunga Na College Akisomea Secretary Dar, Hapo Ndio Kimbembe Kilipoanza Mawasiliano Yakapungua Sana So Nikawa Nikipata Nafas Nakuja Dar Kushitua Kidogo Na Kumuona.

Mara Ya Kwanza Nakuja Dar Nakuta Kitu Hakina Uhalisia Aisee Yaan Hakibani Kabisa Sisi Wa Afya Tunasema Parous Hymen, Wakat Hajwahi Kuzaa So Nikahis Kuna Wahun Wanachakata Kiwanda Hiki, Nilivyomuweka Doggy Damu Zikaanza Kutoka Ni Clots Nikamuuliza Vip Akasema Fresh Na Hana Hata Habari Ila Mim Nikampima Na Mkono PV Exam Nikakuta Njia Iko Open Nikajua Hii Ni Incomplete Nikamafisha Pale Pale Guest Nikakimbia Mawasiliano Pharmacy Nikanunua Oxytocin Na Pedi Nikamvalisha Na Kumchoma Then Nikamsindikiza Kwao Nikarud Guest Nikamalizia Na Nyeto Asubuh Nikasepa Kusini Bila Kumsema Wala Kumuonyesha Kuwa Nina Hasira Nae Na Una Jambo Nimegundua, Nilipofika Chuo Nikaongea Nae Akaniambia Ukwel Baada Ya Kumbana Kuwa Aliliwa Na Dr Aliyekuw Anamuhudumia Mama Akiwa Anaumwa Kitandani So Nikamuelewa Nikamsamehe.

Mara Ya Pili

Nikaja Tena Dar Safar Nyingine Nimemnunulia Na Simu, Kabla Sijamla Machale Yakanicheza, Na Hiki Kitu Nawasisitiza Sana Wakuu Ukiona Kuna Kitu Unahis Juu Ya Mpenz Wako Fuatilia Ujiridhishe Ving Ni Kweli, So Nikachukua Simu Yake Kuangalia Nakuta Message Za Mhuni Anasema " Mbona Napiga Simu Hupokei Ole Wako Uwe Umeniambukiza Ukimwi, Malaya Wewe" Nikapaniki Ila Nina Nyege So Nikamuuliza Then Nikamchapa Fasta Kesi Ikaendelea Baada Ya Kunieleza Nikamkaushia Kam Wiki 2 Then Nikaona Fresh Acha Na Hili Lipite Tukarudiana Tena Akiniahid Atabadilika.

Mara Ya 3

Kuna Kipind Recent Alikuja Kusini Akitokea Dar So Nikamla Then Akarud Dar, After 4 Weeks Akaniambia Ana Mimba YANGU Mim Sikukataa Co Nilisahapa Sitakuja Kukataa Mimba, Mtoto Nalea Kama Mama Ake Alichepuka Atajua Mwenyew Mim Pia Nimelelewa Na Baba Sio Wangu Na Alinijal Kama Mwanae Wa Damu So Nina Hiyo Spirit. Nikamwambia Aje Kusini Tufungue Kadi Maana Kuna Mahali Nipo Najishikiza So Akaja Nikampeleka Hospital Moja Jamaa Ananifahamu Akampima Ila Nikamuomba Picha Na Foetal Biometry Asinitaji Nitakuja Kuzichukua Baadae Maana Nilikuw Na Wasiwasi Kutoka Na Tabia Zake, Alipoondoka Kusin Naangalia Vipimo Kila Nikipiga Umri Kwa Parameters Zote Za US Picha Zaid Ya Tatu Umri Unakuja 6-7 Weeks Wakat Mim Najua 4 Weeks Since Tumekutana, Nikafikiria Ila Nikasema Poa, Kwa Sababu Niliamin 1-2 Weeks Error Kweny US Ni Kawaida So Nikajipa Moyo Sikumwambia, After Almost 10 Weeks Akiwa Dar Akasema Kapata Abortion Mim Nikamtumia Mtonyo Kama 100k Kwa Ajil Ya Evacuation. Ila Still Akawa Analalamika Damu Zinatoka Mwez Mzima So Nikamwambia Aje Ili Nimsafishe Mwenyew Tena Na Nimuangalie Kwel Akaja Nikiamsafisha Na Akawa Saw Ila Jion Kabla Hajaondoka Machale Yakacheza Maana Alikuw Anaongea Na Mtu Anasema "G Usifikirie Hivyo Tutaongea Vizur" Mi Nikamuuliza Hiyo Nan Akasema Ni Shemej Yake Kwa Dada Ake Nikamwambia Mpigie Weka Loudspeaker, Akapiga Jamaa Akawa Anaongea Kwa Kulalama Kwanini Ametoka Hajamuaga, Mi Nikamuuliza Tena Nana Hiyo Akasema Ni Rafiki Yake Mi Nikampigia Jamaa Nikaongea Nae Akasema Ni Mtu Na Ana Mimba Yake, Jaman Jaman Nilitoa Kilio Kama Mtu Kapata Taarifa Za Kifo Cha Mama Ake, Maana Niliumia Sana Sikuamin Kama Naweza Pigwa Tukio Tena Na Binti, Sikumdhuru Asubub Nikamkatia Gari Akarud Dar Nikampotezea Ila After 2 Month Tukarudiana Tena.

Tukio La 3 FUNGA KAZI

Mwez December Niliona Ngoja Nipande Nyumban Nikaungane Na Familia Na Yeye Dar, So Nikampigia Nakuja Akajibu Short Poa, Nikafikia Kwao Hakukuwa Na Mtu Nikamla Baadae Alipolala Nikachukua Simu Yake Na Kukuta Tena Za Jamaa Nasty Sana Aisee, Jamaa Namjua Nilishawahi Kumsikia Ni Jiran Yao Na Dada Ake Ni Rafik Wa Huyo Mtu Wangu, Text Kama " UNA BAO JINGI" , " MBONA UNACHELEWA, NAUMIAGA" , " KWANINI ULIAMUA KUNIFANYA VILE" Aisee Niliumia Sana Nikahis Jamaa Inawezekana Anamla Na Jicho Huyo Mtu Wangu So Kulipokucha Nikambana Akanikubalia Na Kuinomba Sanmahan Mi Nikamjibu Nimmsamehe Ili Moyon Nilishakuwa Na Kukata Tamaa Nae Kuwa Huyu Hawez Kubadilika Na Hiki Ni Tabia Yake, So Tukaachana Huyo Siku Asubuh, Jion Akaja Home Kwa Mama Tukaongea Then Nikamsindikiza Ila Njian Akaniambia Hatuwez Kulala Kwao Kisa Ndugu Zake Wanarud Maana Walisafir Mi Nikakubal Ila Wakat Narud Home Machale Yakanicheza Nikahis Jamaa Leo Anaenda Kupiga Ndio Maana Nimpigwa Stop So Nikachukua Boda Nikaenda Mitaa Ya Karibu Na Kwao Nikavuta Kama 3 Hours Mpaka Saa 5 Nikanyata Dirishana Kwake Nikasikia Anaongea Na Mwanaume Saut Ya Chini, Nikavumilia Nikashindwa Mi Nikagonga Mlango Akafungua Na Jamaa Yupo Pemben Anaomba Msamaha Anatetemeka Mi Nikamwambia Kuwa Nina Shida Ya Wew Huku Natetemeka Ila Nikasema Ngoja Nimalize Huku Nalia Kwa Uchungu Nikamwambia Jamaa Kuwa Nina 10 Years Na Huyo Dada Na Nimeyapitia Mengi Awe Makin, Then Nikamuuliza Binti Kati Yangu Mim Na Jamaa Hapa Nina X Unanpenda Akasema Anampenda Jamaa Dah! Miguu Nikahis ainataka Kuanguka Nikamwambia Dawa Nimekuelewa Ila Naomba Simu Yangu Niondoke Akaleta Ubishi, Hapo Nikakasirika Nikamkamata Na Jamaa Akakimbia Nikamla Makofi Na Ngumi Kadhaa Nikachukua Simu Nikamwambia Sikutak Tena Na Tusi Fulani LA Mama Ake Wallah Nilikuwa Kama Chiz Nikachukua Boda Kutoka Kwao Aisee Mpaka Home Kama 20k Hivi Maana Daladala Niliona Niatchelewa Nikaenda Home Kwa Mama Nikamuelekeza Huku Nalia Yaliyotokea Mama Akasema Basis Mwanangu Achana Nae Sio Bahat Yako, Nikatoka Naenda Kuoga Namuona Nae Kaja Nyumban Usiku Ule Ule Alivyoniona Akakimbilia Kwa Mama Analia Sana Nimsamehe Mi Nikataka Nimtimue Mama Akanijia Juu Hapo Kwake So Siwez Kumfanyia Hivyo, As Final Akaniita Akaniambia Maneno Mengi Ya Kunipa Ushaur Nimsameh, Basi Nikakubal Kumridhisha Tukalala, Asubuh Nikamla Then Nikapanda Gar Kurud Kusin Since Hapo Sijaongea Nae Tena Ila Huwa Ananitafuta Na Sipokei Simu, Jana Akanitumia WhatsApp Uchi Wake Aisee, Nikakumbuka Ving Sana Kwake, Sijamjibu Na Nimemtia Block Ila Najihis Kuna Kitu Kinanizuia Kutoka Kwake.

Naamin Kuna Watu Wamepitia Kama Niliyopitia Na Wakafanikisha Kujitoa Kweny Hii Hali, Yaani Naumia Sana Sina Hisia Nae Ila Mazoea Na Vitu Tulivyowahi Kufanya Na Kupitia Bado Viko Kichwan Naweza Futa Haya Mawazo Jaman.?

Asanten Sana
Hivi unakuja kuleta upumbavu wako hapa Kwa nini usingefanya siri yako,mjinga kabisa wewe
 
shanature

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
973
500
huwezi ukaichukia voda ikiwa huna line nyingine kama tigo na halotel..lazima utaweka tena salio na kuitumia ukiacha tafuta mbadala fasta...
 
Nas Jr

JF-Expert Member
May 15, 2018
4,589
2,000
Mkuu pole sana.. Uchi unakupa mateso sana..

Kaa tulia hilo jambo ni la muda tu....

Ila usipuuzie hadi hapo ulipofika una kila dalili za mtu aliyepigwa Limbwata
 
Gibeath-Elohimu

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
411

Kudadadadaaadekiii aisee kwa yoyote aisie amini LIMBWATA lipo amcheki huyu jamaaa😳😳😳
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,270
2,000
Kiukweli Nilimpenda Sana! Ila Sasa Nimefikia Kwenye Kipindi Cha Simtaki Ila Bado Namkumbuka Na Kumuwaza!

Nawezaje Kutoka Hapa?? Nishaamua Ku Move On.

Kuna Jamaa Angu Aliniambia Nitapona Kutoka A Muda, Niendelee Kukomaa Muda Ni Tuba Sahihi, Nimejaribu Naona Nazid Tu Kumkumbuka.
Hali hiyo huwa ipo tu, ni wewe kujizoeza taratibu tu utakuwa sawa.

Hapo tiba ni muda tu.
 
Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
10,356
2,000
Nimecheka sana.!
Haachi kashike tena simu yake uone.Ndo maana wanasemaga msishike simu zisizo zenu kama mnajijua wote mmechachamaa.
 
Jics

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
239
500
Kama Alito Mimba na ukakubali achana nae huyo hastahi kuwa mke
Kosa la pili ni kutoa Mimba na wewe ukakubali ulifanya kosa kubwa kiukweli maana mtu wa kuwasaidia ndio mmemuua
Achana nae na utubu kwa kosa hilo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom