Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Makosa yote yanaweza kusameheka ila hilo la kukukana, kuliwa jicho na kutoa mimba hayakubaliki.Kama Alito Mimba na ukakubali achana nae huyo hastahi kuwa mke
Kosa la pili ni kutoa Mimba na wewe ukakubali ulifanya kosa kubwa kiukweli maana mtu wa kuwasaidia ndio mmemuua
Achana nae na utubu kwa kosa hilo
Huyo hana future, labda umweke kwenye fuccck zone tu, maana inaonesha siyo mchoyo. Ukikitaka unakipata bila wenge