Msaada: Huu ni ugonjwa gani na tiba yake nini?

Mbuvula

New Member
Jan 2, 2020
3
0
Habari zenu wakuu, poleni na majukumu.

huu ni ugonjwa gani umenipata, ilianza kama siku tatu zilizopita, naona mkono unaniwasha na jana na leo ghafla naona pamekuwa hivi na bado panawasha. Tamuona Doctor lakini kwa sasa nipo eneo ambalo hakuna daktari, angalau paache kuwasha tu na kuondoa hivo viuvimbe kwanza.

Natanguliza shukrani.
 
Ni kama mchafuko wa damu
Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…