Msaada huu ni ugonjwa au kawaida

Msaada huu ni ugonjwa au kawaida

genuine1

Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
57
Reaction score
12
Wakuu habari za leo,naombeni msaada wenu hapa mpenzi wangu alianza kuona period isiyo rasmi(alikuwa anaona damu ikitoka vidoti vidogo vidogo kwa mda wa siku 3 kuanzia tar 29/03/2014 mpaka 31/03/2014 then tar 1/04/2014 ikaanza kutoka nyingi mpaka 6/04/2014 na baada ya hapo mpaka leo inaendelea vitone vidogo vidogo kama jana usiku imetoka kitone kimoja tu.
Background
Mwaka jana mwezi kama wa 4 hivi alitumia dawa furani zinaitwa morning after(72 hour) kuzuia mimba kutokana na kwamba zilikuwa tarehe mbaya na mwezi wa 5 hivyo hivyo.

Baada ya muda kidogo mzunguko wake wa hedhi ukabadilika kabisa anaweza kuona mara 2 ndani ya mwezi mmoja then tukaamua kwenda hosp akapewa dawa furani za uzazi wa mpango(sizikumbuki vizuri but tuliambiwa ni very common) akaambiwa ameze kwa muda wa miezi 3 yani 90 days,alianza kumeza mwezi wa 10 na kamaliza mwezi january hali yake ikawa poa kabisa kwa hii miezi kadhaa sasa naona imeanza tena na mwezi wa 3 period ilianza tar 14/03/2014 na ikamalizika tar 19/03/2014
 
Pole sana mkuu nadhani haya ni matatizo common sana kwa hawa ndugu zetu bt ngoja waje wataalam watueleze
 
Nenden host,tofaut tofaut,sie ishawaitokea,hvyo vdot vya damu yawezekana mimba inaharibikika ikiwa changa sana.inabid akafanyiwe utrasound,
 
Hii yaweza kuwa madhara ya hizo dawa. Tatizo mnapoenda hosp. hamuambiwi madhara yake, njia nzuri ya uzaz wa mpango ni ya kalenda.
 
Back
Top Bottom