mi ninayo hapa hizi cm za bei nafuu hii ndio gharama yake pia zina tatizo la kuonyesha low space storage, nafikiria kufanyia root
mkuu unafanyaje hiyo root?
mi ninayo hapa hizi cm za bei nafuu hii ndio gharama yake pia zina tatizo la kuonyesha low space storage, nafikiria kufanyia root
sina utaalam mkubwa saana nitaleta mrejesho nikifanikiwa
nimejaribu kuifanyia kazi y300 yangu nimeweza kundoa tatizo la low space ktk internal memory japo sina muda wa kutosha sana nimejifunza vitu vingi mfano hizi simu zinaanza kusumbua pale unapoanza ku update apps zlizowekwa na mtengenezaji. Kwa hiyo nimefanya unistalling updates zote na kuondoa kabisa apps ambazo sizitumii. Rooting bado naifanyia study nikiwa tayari naibomoa kuondoa baadhi ya apps. Nafanya hivi mwenyewe sababu simu ni bora niitupe kuliko kumpelekea fundi
mkuu bado tu?
Habari wandugu nna cm tajwa hapo juu huawei y300;cm hii nlivyoinunua ilikua inapiga kazi vizuri kabisa sasa inatatizo lakula chaji mno na ku stuck; yani kwakweli sina hata ham na hii cm inanikere mno nilikua naomba msaada nifanyeje ili niondoe ili tatizo la kuisha sana na chaji na ili la tatizo la ku stuck! Ndugu zangu natangulia shukrani kwenu; ndugu CHIF MKWAWA na wengine msaada wenu tafadhali ahsanteni !