msaada huawei ideos inakataa kudownload

kweyamba_dave

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
961
Reaction score
484
msaada wakuu hii simu ilikuwa inadownload vizuri tu but tatizo limeanza baada ya kui restore sasa hivi inakubali kudownload apps peke yake vitu vingine inakataa
 
yan we kwa akil yako umemaliza kutoa maelezo??? hatjui version,sab ya ku restore??

Ok kwanza unajua ku conct data au internet kwenye hyo cm?? kama yes nadhan kpnd una restore ulzfuta so kaunganshe
 
Jaribu kuirestart yaani bila kuizima, fungua mfuniko toa betri kisha iache kama dk 2, rudisha betri washa kisha jaribu tena kiudownload.
 
Wadau mimi ya kwangu inagoma hata kushare picture WhasApp na kudownload music na mafile mengine hasa kupitia Opera mini. Na nimejaribu kufuata ushauri alopewa mwenzangj bt tatizo lime endelea kuwepo.
 
Mkuu Activister kumbuka kila unapotuma
whatsapp huwa kuna copies zinabaki ktk
simu yako,jaribu kwenda kufuta huko kwenye
hizo files halafu uone kama mambo yanakuwa
vema ndg
 
vile vile internal memory inahifadhi apps peke yake.so bila ya sd haiwez kudownload
 
nimefuta kila kitu wakuu bt tatizo bado lipo na sd card ni 4GB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…