Msaada huawei e303s-02 hilink

Msaada huawei e303s-02 hilink

mkuu me nimefuata procedure zote ila nw baada ya kuuninstall mobile partner haifunguki kabisa n pia nimeshindwa kuirudisha itumie browser kama kawaida..nipeni msaada hapo wakuu
 
Hizi mbona mdebwedo tu!! Nimechakachua modem tatu kwa mpigo kwa trick ya gkiwango then nikawrite dashboard ya tigo so kwa sasa ni kama zile standard tu siyo hilink tena. Anywhere anytime nasebenza tu.
Bravo gkiwango
 
Last edited by a moderator:
ninatoa huduma ya kuunlock devices zote.


1.Simu za huawei ascend zote kwa tsh 10,000/= ukiniona.
Kama uko mbali ni ths 20,000/=
2. simu za alcatel one touch&vodafone V875 kwa tsh 20,000/=
3. NB:MODEL ZOTE ZA SIMU ZINAWEZEKANA.
3. modem zote kwa tsh 7,000/=
4. mobile wifi/ mifi/wireless router kwa tsh 15,000/=
NB: HAKUNA DEVICE INAYOSHINDIKANA.
NAPATIKANA DAR ES SALAAM
WASILIANA NAMI KWA 0682-29-57-52.
AU FB PROFILE: https://www.facebook.com/lucas.mahanga
AU FB PAGE :https://www.facebook.com/ModemWizard

Ustaharabu kitu cha bure, wote tukianza kutangaza biashara zetu kwenye nyuzi za watu itakuwaje? Nenda kwene jukwaa husika tangaza biashara yako
 
Kweli kabisa mzazi hapa 2nageana maujanja we unaleta mambo ya biashara si uende kwenye jukwaa la biashara
 
‪#‎bongounlock‬
HOW TO UNLOCK HUAWEI ASCEND Y600, Y550, Y530 , Y330 , Y300, Y200, Y201,Y101,TiGO
HOW TO UNLOCK VODAFONE VF 685, V685, SMART KICKA, VodaCom
HOW TO UNLOCK VODAFONE V875 , V785 VodaCom
HOW TO UNLOCK TECNO H6 TiGO.
HOW TO UNLOCK HUAWEI MOBILE Wi-Fi E5331 VodaCom, E5221 TiGO, ZTE R206z VodaCom
1.Je una simu au mobile wi-fi , wireless router , mi-fi yoyote kati ya hizo zilizotajwa hapo juu?
2. Je inatumia SIM CARD ya mtandao mmoja tu?
3. je unataka itumie mitandao yote bila kubagua?
Kama majibu yako ni ndio basi leo umepata suluhisho la matatizo yako…!! Basi leo umekutana na BONGOUNLOCK TECHNOLOGIES ambao ni wataalamu na mabingwa namba moja Tanzania wa ku-unlock simu na vifaa vingine ili viweze kutumia mitandao yote. Tuna-unlock simu zote kwa kutumia unlock codes. Kwa wale wote wenye simu za HUAWEI na zinatumia line moja tu e.g. TiGO, au simu zote za VODAFONE zinazotumia line moja ya VodaCom tu basi wataweza kutumia mitandao yote yaani VodaCom, Airtel, TiGO, Zantel, TTCL, na mitandao yote duniani kote.
Tuna uzoefu wa miaka mitatu. Tumesajiliwa kisheria. Uaminifu na uhakika ndio sifa yetu. Wateja wengi wamekuja na wamefanikiwa na wakaacha ushuhuda mzuri. Leo ni zamu yako pia…!!
NITAJUAJE KWAMBA SIMU YANGU INATUMIA MTANDAO MMOJA TU?
Utakapowasha simu yako ikiwa na SIM card tofauti itakutaka kuingiza namba moja wapo kati ya hizi zilizoorodheshwa hapa chini:-
---SIM network unlock pin
--- SIM service provider unlock pin
--- Network unlock code
-- Enter SIM Me Lock Code[NP]
-- Unlock Sim Block
-- Please Input Network Pin
-- SIM locked
--- SIM card locked! Please contact your operator! Reset Key?
QN1.KWA HIYO UTARATIBU UKOJE?
Kwa wale wanaoweza kufuata maelekezo yote hatua kwa hatua basi wanaweza wakatembelea tovuti yetu ya BongoUnlock.com : Unlock Your Huawei, Samsung, Nokia and all other Phones Online. . hapo utajipatia maelekezo yote hatua kwa hatua namna ya kufanya, namna ya kufanya malipo na huduma yote kwa ujumla imeelezewa hapo. Ni rahisi sana. Na inachukua wastani wa dakika 15 tu kila kitu kukamilika.
QN2.NI TSH NGAPI HUDUMA HII?
Huduma hii ni sawa na bure kabisa. Ni Tsh 10,000/= tu. Bei zetu hazina punguzo.
QN3.INAKUWAJE KAMA UNLOCK CODE NITAKAZOPEWA HAZITAFANYA KAZI?
Unlock code zinazotolewa ni "" FACTORY UNLOCK CODE"" , maana yake ni kwamba code hizi ni maalumu kwa simu husika tu na zinategema IMEI ya simu husika. IMEI inapatikana kwenye simu yako kwa kupiga *#06#.Hivyo basi unlock code kutoka BONGOUNLOCK TECHNOLOGIES kamwe haziwezi kushindwa kuifungua simu yako…!! Kila simu inakuwa na unlock code yake tofauti na zingine. Tangu tuanze huduma hii hakuna simu iliyowahi kushindikana hata moja.
QN4.JE KAMA NILIWAHI KUJARIBU KUINGIZA UNLOCK CODE ZA UONGO MPAKA SIMU IKAFUNGWA(BLOCKED) IKAANDIKA "UNLOCK SIM BLOCK" , JE NIFANYEJE?
Hii pia ni rahisi na inawezekana kwetu. Tutakupatia UNLOCK SIM BLOCK PIN maalumu kwa ajili ya simu yako ili kwanza ifunguke na kuwaka kama kawaida na pia utapatiwa na SIM NETWORK UNLOCK PIN ili simu yako itumie mitandao yote duniani kote.
QN5.JE SIMU ITAJIFUNGA TENA MTANDAO KWA SIKU ZIJAZO BAADA YA KU-UNLOCK AU NIKI-RESET SIMU?
HAPANA. Hata kama ukireset simu au ukiiformat au ukienda nayo nje ya nchi bado itaendelea kutumia mitandao yote duniani kote. Hii ndio maana ya unlocking.
Kwa wale watakaotaka kupata maelekezo ya ziada wanaweza wakawasiliana nasi kwa namba hizi za simu za mkononi..
VODACOM: 0768534453
TIGO: 0718426906
AIRTEL: 0682295752
WhatsApp: 0682295752
#bongounlock
https://www.facebook.com/BongoUnlock1/posts/723388017775219
 
Back
Top Bottom