Msaada huawei e303s-02 hilink

Msaada huawei e303s-02 hilink

Screenshot (3).png Mkuu gkiwango nmefata procedure zote sawa sawa but imeshindwa kuonesha hizo port ie. 3G PC UI Interface & 3G Application Interface...msaada tafadhali!!!!!!!

Last edited by a moderator:
Bila woga wacha niingie Mzigoni, nitaleta feedback
CC: nurbert

Hiyo Tutorial kazi yake ni kuwezesha hiyo modem iwe kama modem za kawaida, yani ifungue ile interface ya Mobile partner na sio ile ya kwenye web browser.

So tutorial haionyeshi unlocking trick ya hizi modem
 
Nikweli lakini hapo hapo unaweza unlock kwa ile njia ya Kimox, baada ya ku update drivers modem itaonekana kwenye COM ports hapo ndio unaflash zile firmware za Kimox
 
Kwa Windows 8 au 8.1 inaleta shida mie nilitumia Window 7 mambo yakaenda murua
Nilifanikiwa brah, kwa win 8 mpaka u disable Driver Signature Enforcement mode! After you do so inakubali!!
 
Nikweli lakini hapo hapo unaweza unlock kwa ile njia ya Kimox, baada ya ku update drivers modem itaonekana kwenye COM ports hapo ndio unaflash zile firmware za Kimox

Yep nifanya kila kitu problem inakuja firmware inaona port kama kawa lakini inashindwa ku fetch details, sababu hiyo firmware siyo kwa ajili ya modem hiyo.

Mfano mie drivers zote ziliingia
e303b.JPG

e303c.JPG
 
leo nahs nmeua modem... Nlianza kwa Ku Update firmware nkaweka ya hilink.... Mpaka sasa com hazi somi mayb ndo n try kwa win 7 maana nna 8.1
 
Yep nifanya kila kitu problem inakuja firmware inaona port kama kawa lakini inashindwa ku fetch details, sababu hiyo firmware siyo kwa ajili ya modem hiyo.

Mfano mie drivers zote ziliingia
View attachment 140283

View attachment 140285

Drivers zote hazikuingia mkuu na hapo ndio chanzo cha error, angalia hapo juu utaona kuna ki unknown driver HiLink na hiyo fanya kama ulivyo uodate driver ya kwanza hapo ndio modem itasona details, mie nime unlock modem kama hizi zaidi ya mara 6 bila shida
 
Mkuu ukiangalia vizuri hiyo driver inayo install ndo inaonyesha yellow mark na ilipomaliza ilikua kama hivi

e303e.JPG

Umeunlock hizo modem kwa firmware ipi mkuu, au kwa techniq ipi? kwa process hizo hapo juu haiwezekani sababu firmware ya e303 hilink ni tofauti na ya e303 basic.
 
View attachment 140620

Umeunlock hizo modem kwa firmware ipi mkuu, au kwa techniq ipi? kwa process hizo hapo juu haiwezekani sababu firmware ya e303 hilink ni tofauti na ya e303 basic.

Mpaka hapo kwenye drivers umefanya ipasavyo, baada ya hapo usitumie firmware ya HiLink bali tumia zile za kimox ambayo unaanza na Default Airtel Firmware bayo itadai password ambayo ni flash code kutoka katika Huawei Modem unlocker ambayo itacalculate IMEI ya modem na kukuoa hizo flash code na nck code, baada ya hapo uta flash ile UTPS Update,

Hii trick ya gkiwango tunaitumia kufanya modem isome kwa com ports tu wala hatutumii firmware za hilink mkuu

Good luck & ukikwama usisite kuuliza
 
Poa ntarejea baada ya dk sifuri
 
Imezingua hapa

e303g.JPG

e303h.JPG

Pamoja
 
kosa ni kwamba hukufata stepsile ya kwanza vizuri... Ilitakiwa u update drivers za huawei then u browse kule kwene mobile partener>drivers..........
Then ndo itakubali

Kaka kama drivers hazijawa updated kwa nini imeona port?
 
ASANTE MKUU,mi nilifika mpaka kwny iyo step ya kuuptade na mwisho ikandiaka error code lakin nilivyoweka line zingine inapiga kazi line zote,kama umefika hapo jaribu kuweka line nyingine uone coz kangu inapigakazi line zote thanx man
 
Back
Top Bottom