Msaada; HP inahitaji ku-restart kila baada ya muda mfupi

Msaada; HP inahitaji ku-restart kila baada ya muda mfupi

cjilo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
884
Reaction score
448
2013-12-30 10.44.17.jpg
Nnatumia laptop aina ya hp windows 8 toka niinunue haijawahi kuwa na shida yoyote ile. N i hivi juzi imeanza tatizo la kuhitaji ku-restart kila baada ya muda mfupi ili ikamilishe updates, na nikishafanya hivyo ikiwaka baada ya sekunde chache tu inanipa tena options za kufanya hivyo, nimekuwa nikivumilia kwa kuiambia inikumbushe baada ya cku moja lakini sasa nimechoka na hili tatizo, Najiuiliza hizo updates inazokamilisha ni zipi wakati nimezima updates kabla ya hili tatizo na kila siku naangalia naona bado iko off?
Nimeshabadili antivirus na ku-scan computer bila mafanikio yoyote
Nakosa namna ya kutatua hili tatizo, naomba wanajamvi mnisaidie kwani nimechoka na hili tatizo
 
"""To do so, open Windows Store and navigate to Settings, App Updates. Then, change the option Automatically Update My Apps to No."""

Hiyo ni moja ya majawbu. Alternatively unaweza pia Ku run "System restore". For more information about system restore unaweza tu ku google ("running system restore in windows 8") au kwa msaada zaidi tembelea link zifuatazo:
 
naomba kabla cjafikia uamuzi wa ku-rostore nifanye hiyo njia ya kwanza,
Windows Store and navigate to Settings unamaanishe ni ile store ya windows 8 kama ndo hivyo kule cjaona hiyo kitu uliyosema, naomba nielekeze jinsi yaukipata hiyo Windows Store and navigate to Settings ndugu yangu
 
Shukrani Mkuu samaki2011 Nmefanikiwa kwa msaada wako na google, bila wewe nicngeweza kujua kama tatizo ni app updates, me nilijua ni windows tu, shukrani sanasamSamakiaki201samaki201
 
La ziada, hakuja haja ya kuinstall antivirus kwenye Windows 8 iko built in.
 
Shukrani Mkuu samaki2011 Nmefanikiwa kwa msaada wako na google, bila wewe nicngeweza kujua kama tatizo ni app updates, me nilijua ni windows tu, shukrani sanasamSamakiaki201samaki201

SAWA MKUU HATUPASWI KUKWAMA NI VEMA SHUGHULI ZETU ZIENDE KAMA ZILIVYOPANGWA. Halafu sikuwa nimepitia notifications kwa muda mrefu ndo najua leo kwamba ulifanikiwa.
 
Back
Top Bottom