Msaada:How to know original and serial no of iphone4s

knowcko

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
11
Reaction score
1
Naomba mwenye uelewa ya iphone4s namna ya kuijua au kuitofautisha kat ya fek na original.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
piga *#06# kuna imei number zitakuja,zicopy then ingia katika link hii Check IMEI - IMEI.info kazipaste sehemu palipoandikwa enter imei utaletewa details specification za device yako then thibitisha na origanla specification za device mchezo umeisha!!!
 
Ahsante ndugu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ukiunganisha iPhone kwenye iTunes 11 na kuendelea kwa kutumia USB, iTunes hukuambia ni iPhone model ipi na iOS yake
 
Mchina amekuwa hashndw ktu hyo ya kutumia IMEI namba syo perfect cha msng tumia I-Tunes hutapata xhda kabxa
 
Back
Top Bottom