Msaada: Hotel nzuri Dar, maeneo Sinza au Mwenge

Nenda Silver Paradise iko Manzese hutaamini utakachokiona,za Sinza nyingi zimechoka...
Tatizo Wana customer care mbovu sana
Ukitoka lazima wakakague usafi... hivi mtu avunje amri ya 6 pabaki hivo hivo...
.
 
Tatizo Wana customer care mbovu sana
Ukitoka lazima wakakague usafi... hivi mtu avunje amri ya 6 pabaki hivo hivo...
.
Umelala mara ngapi mkuu?mimi mara nyingi huwa nafikia pale sijawahi kukutana na hilo.Ninachojua mara nyingi ukaguzi wanaofanya na ambao unafanywa na Hoteli nyingi ni ukaguzi wa mali,kwani kuna watu huwa wanatoka na mashuka,kandambili,remote za AC au TV,neti,TV n.k..kwahiyo wakati wa checkout kuna mtu anafanya hiyo kazi,labda ndio maana wewe ukahisi wanakagua mashuka.Na kawaida unapokuwa una checkout kuna watu wa usafi ambao kazi yao ni kutoa mashuka yote hata kama ni masafi,yanatolewa na kupelekwa laundry kufuliwa na wanaweka masafi kwani wanajua kwa namna moja au nyingine lazima yachafuke...
 
Saivi hoteli nyingi wanakagua sana kwa saabu watu wengne ni wezi sana wanaiba shuka, taulo hata ndala za choo. Kingine saivi watu wanafi.rana sana pengne kuliko kipindi chochote cha maisha ya bnadam mashuka yanachafuka.
 
Duuuuh
 
Da hii kweli mkuu wamiliki wa gesti wanafua sana mav h ha ha ha ha ha da nimecheka sana
 
Kibadamo Ubungo ni nzuri. Breakfast heavy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…