Msaada: Hosted Google Adsense Account

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,000
Nina hosted google adsence account (youtube only) nmefungua mwezi February 2017 kwa sasa ina Dollar 40$ (estimated earing) lakini katika Payment Threshold inasoma Dollar 0.06$.

Tatizo ni nini? naomba msaada
 
cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,013
1,500
Nina hosted google adsence account (youtube only) nmefungua mwezi February 2017 kwa sasa ina Dollar 40$ (estimated earing) lakini katika Payment Threshold inasoma Dollar 0.06$.

Tatizo ni nini? naomba msaada
Estimate Earning 40 ni toka Ulipo Anza ila Itabadilika ikifika mia 100 na utalipwa mwezi unafuata Pambana
 
Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,000
Estimate Earning 40 ni toka Ulipo Anza ila Itabadilika ikifika mia 100 na utalipwa mwezi unafuata Pambana
Asante mkuu, vpi na payment threshold kwann haibadiliki kila hela ikiongezeka maana wanasema threshold inaji'Update kila hela iingiapo kwenye account.

Naomba kujua zaidi kuhusu Payment Threshold inavyoji'update ni kila baada ya mda gani?
 
GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
880
1,000
Nina hosted google adsence account (youtube only) nmefungua mwezi February 2017 kwa sasa ina Dollar 40$ (estimated earing) lakini katika Payment Threshold inasoma Dollar 0.06$.

Tatizo ni nini? naomba msaada
Pesa ya YouTube kuja Adsense uwa inakuwa before tarehe 15 of month.
Log in kwenye google adsense account yako utaona tu. balance iliyopo mpaka sasa. na ikifika $100 watakupa mpunga.
 
Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,000
Pesa ya YouTube kuja Adsense uwa inakuwa before tarehe 15 of month.
Log in kwenye google adsense account yako utaona tu. balance iliyopo mpaka sasa. na ikifika $100 watakupa mpunga.
Ntacheck cku hyo basi ikifka
 
algorithim

JF-Expert Member
Aug 29, 2016
853
1,000
Nina hosted google adsence account (youtube only) nmefungua mwezi February 2017 kwa sasa ina Dollar 40$ (estimated earing) lakini katika Payment Threshold inasoma Dollar 0.06$.

Tatizo ni nini? naomba msaada
baba toka february dollar 40$???????????????????????????????????????
 
GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
880
1,000
Asante mkuu, vpi na payment threshold kwann haibadiliki kila hela ikiongezeka maana wanasema threshold inaji'Update kila hela iingiapo kwenye account.

Naomba kujua zaidi kuhusu Payment Threshold inavyoji'update ni kila baada ya mda gani?
Kwa upande wa YouTube unapokuwa dashboard utaona pesa uliyo ingiza but kwenye Google Adsense account (Hosted account) uwainakuwa before 15 ndo inakuwa updated
 
Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,000
Kwa upande wa YouTube unapokuwa dashboard utaona pesa uliyo ingiza but kwenye Google Adsense account (Hosted account) uwainakuwa before 15 ndo inakuwa updated
Shukran mkuu, namwambia kjana wangu kwamba smetime cpc, rpm, impression zinakuwa na effect pia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom