nondo kilimanjaro
Member
- Oct 30, 2017
- 93
- 43
nikuondoe mashaka nakubaliana nawe Marekani kuna tiba za aina mbili :- kuna za hospitali na zile za tiba mbadala nao wanazo, kwa kuthibisha hilo angalia video moja ya kwenye youtube world without cancer, kuna sheria waliweka hao hiyo dawa isitangazwe kwa uwazi ingawa kuna watu maarufu wanatumia na wanapona, na sio hilo tu nimeshaijaribu kwa ndugu zangu hapa Tanzania,ila uchaguzi ni wako kutumia tiba moja kati ya hizo mbili. kutibu chanzo cha ugonjwa au kutibu matokeo ya ugonjwa.Watu maarufu akina nani kwa mfano na wewe umejuaje kama ni siri?
Steve jobs na pesa na umaarufu wake kafa kwa kansa ya kongosho?
Au hakulijua hilo maana katafuta tiba mbadara kabla ya kukubari kufanyiwa operation na kukataa kwake kufanyiwa mapema ndiko kumesababisha kukuta ishasambaa zaidi.
Hope unasema ukweli sio kutafta fursa...