Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.
Swali gumu hilo mkuu...labda hazina kasi ya kutosha so zinataka zibebwe zipandikizweDuuu bongo sidhani! Ila imeshindikana namna gani kwa njia ya kawaida?
Sihitaji IVF, nahitaji IUI ipo Tanzania niliona tangazo kwenye TV ni kwenye Hosp ya wahindi ila sikukariri jina so anayejua anifahamishe plzBongo bado sana...
Mwaka jana India IVF ilikuwa usd 3500
Labda aghakanNafahamu inapatikana Tanzania ila sijui ni hospital gani ila ni ya wahindi msaada plz kwa anayejua
ShukraniNenda Hubert Kairuki Memorial Institute, ndio kwanza wamezindua mwezi huu. Gharama siwezi kujua
Poa, niliisoma jana hii ila sikupata soln maana nilihitaj kujua walipo niende manually
Msisitizo kwa dakatari muweka mbeguMmmh avatar gani hiyo sasa?
Kuna namba ya simu hapo chini pia jaribu kuweka appointment kama walivyoandika ...usikate tamaa huenda wakakupa locationPoa, niliisoma jana hii ila sikupata soln maana nilihitaj kujua walipo niende manually
Kwa namba hapanaKuna namba ya simu hapo chini pia jaribu kuweka appointment kama walivyoandika ...usikate tamaa huenda wakakupa location