fadhilmajjid Member Joined Aug 30, 2011 Posts 18 Reaction score 2 Jul 5, 2014 #1 Msaada wa utaalam. Nini nifanye honda crv RD1 inachemsha ile mbaya na miss za hatar nimezunguka gereji hapa Mwanza lakin wapi
Msaada wa utaalam. Nini nifanye honda crv RD1 inachemsha ile mbaya na miss za hatar nimezunguka gereji hapa Mwanza lakin wapi
MNAFU Member Joined Jan 16, 2014 Posts 99 Reaction score 24 Jul 5, 2014 #2 Ungeweka subject vizuri ingekuwa rahisi kupata msaada. Au nayo ni technique ili mtu awe na hamu kujua kilichomo? Je waweza eleza ilianzaje kuchemsha na kuleta miss? pengine kuna major service ulifanya au ulibadilisha kifaa fulani?
Ungeweka subject vizuri ingekuwa rahisi kupata msaada. Au nayo ni technique ili mtu awe na hamu kujua kilichomo? Je waweza eleza ilianzaje kuchemsha na kuleta miss? pengine kuna major service ulifanya au ulibadilisha kifaa fulani?