No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,663 Reaction score 7,827 May 25, 2016 #1 Wana J.f naomba msaada,hizi keypads za simu yangu(htc) huwa zinapotea kabisa...ila niki restart hii android yangu zinarudi kwa muda na kupotea tena....nisaidieni mwenzenu bila kuchangia humu naumwa!
Wana J.f naomba msaada,hizi keypads za simu yangu(htc) huwa zinapotea kabisa...ila niki restart hii android yangu zinarudi kwa muda na kupotea tena....nisaidieni mwenzenu bila kuchangia humu naumwa!
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,226 Reaction score 44,222 May 25, 2016 #2 jaribu kubadili hio keypad download swiftkey toka store uone kama itabadili kitu