Kwanini ulipima wakati hukula mkuu....?... Miaka kadhaa nyuma nilukutana na changamoto kama hii : Nilikutana na mlimbwende mmoja kwenye harusi ya jamaa yangu na nikamzimikia kweli. Kila nikimsomesha wapiii, na baada ya miezi kadhaa nika give up,maisha yakasonga. Baadae nikapata mdada mwingine tunaendelea naye for some time, maybe a year, tukaachana.One day nikakutana na yule mlimbwende na surprisingly this time kum test kidogo tuu anakubali, na tukapanga kesho tufanye yalee mambo yetu. Kesho yake tukakutana, kikaanza kinywaji then tukaingia room, sasa wakati ndo tunaanza kupasha kabla ya mechi simu ikaanza kuita nikawa nachuna, yule mlimbwende anahisi nipokee kwanza labda ni muhimu, nikapokea, kumbe ni yule demu wangu tuliyeachana naye, nikataka kukata simu but akaniwahi kwamba.. '' wewe huyo uliyenaye hapo ni muathirika, na kama unafikiri ni uongo mpigie rafiki yako fulani muulize '' akakata simu!! Aisee nilipaniki hatari, mlimbwende akaniuliza vipi tena?? Nikamdanfanya kumetokea ajali na mdogo wangu yuko mahututi, mchezo ukaishia pale na akaondoka zake. Nitampigia jamaa yangu kupata uhakika, akasema ni kweli huyo ni muathirika, aisee huo mwezi ulikuwa mchungu sana kwangu... Baada ya hapo nikawa kila miezi sita napima but was found OK. Baadae, after a year or so yule mlimbwende akafariki kwa hilo tatizo.
Tuelimishe Mkuu kabla ya masaa 72 unatakiwa uchukue hatua gani?Haya mkuu tusimulie kilichojiri ili kama ni ushauri uupate hapa hapa before 72 hrs from action
Unakwenda hospitali na kumweleza dr yaliyotokea, anaweza kukupa dawa zatakazozuia virus ku bind na cells za mwili wako.Tuelimishe Mkuu kabla ya masaa 72 unatakiwa uchukue hatua gani?
Haaaaaaa pipi na gandaItakuwa alikuwa na matumaini kidogo,dah sasa atakuwa hoi huko aliko,ila vijana sijui why hawatumii condom.
Dah!... Miaka kadhaa nyuma nilukutana na changamoto kama hii : Nilikutana na mlimbwende mmoja kwenye harusi ya jamaa yangu na nikamzimikia kweli. Kila nikimsomesha wapiii, na baada ya miezi kadhaa nika give up,maisha yakasonga. Baadae nikapata mdada mwingine tunaendelea naye for some time, maybe a year, tukaachana.One day nikakutana na yule mlimbwende na surprisingly this time kum test kidogo tuu anakubali, na tukapanga kesho tufanye yalee mambo yetu. Kesho yake tukakutana, kikaanza kinywaji then tukaingia room, sasa wakati ndo tunaanza kupasha kabla ya mechi simu ikaanza kuita nikawa nachuna, yule mlimbwende anahisi nipokee kwanza labda ni muhimu, nikapokea, kumbe ni yule demu wangu tuliyeachana naye, nikataka kukata simu but akaniwahi kwamba.. '' wewe huyo uliyenaye hapo ni muathirika, na kama unafikiri ni uongo mpigie rafiki yako fulani muulize '' akakata simu!! Aisee nilipaniki hatari, mlimbwende akaniuliza vipi tena?? Nikamdanfanya kumetokea ajali na mdogo wangu yuko mahututi, mchezo ukaishia pale na akaondoka zake. Nitampigia jamaa yangu kupata uhakika, akasema ni kweli huyo ni muathirika, aisee huo mwezi ulikuwa mchungu sana kwangu... Baada ya hapo nikawa kila miezi sita napima but was found OK. Baadae, after a year or so yule mlimbwende akafariki kwa hilo tatizo.
How akuathirika plz TUJUZANE......Kuna dada alikuwa HIV+, alikutana na boyfriend walidate kwa mwaka mzima tena walikuwa wanakwenda kavu, yule dada alikuwa na undetectable status. Sasa jamaa amefika bei siku moja amerudi kazini na engagement ring, dada kabla hajakubali ilibidi awe mkweli kuhusu hali yake. Kama kawaida jamaa alichanganyikiwa, siku ile alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa, akatafuta guest akaenda kulala, kesho yake akajiwahi kwenye kitengo huku amefunga kabisa vioo kwa mdada.
Alipata majibu kuwa hajaathirika, baada ya kupata ushauri nasaha alimwendea dada na kumwambia bado anampenda. Walifunga ndoa na kupata watoto, tena alikuwa anambusha kabisa kunywa dawa.
fualtilia posts zilizofuata nimeeleza.How akuathirika plz TUJUZANE......
Sijakuelewa.hebu fafanua mkuuHata mimi nina VVU.vina vikali usipime.
Utauwa watu kwa pressureBila kupepesa macho. Hivyo ni vidonge vya kupunguza makali ya virusi vya ukimwi. Vipi umeviona wapi mkuu?
Sijaelewa plzfualtilia posts zilizofuata nimeeleza.
Hapa napo vipi vijana tupo wengi na darasa hili ni funzo kwa woteeeNi kweli chances za kutoambukizwa ni 99% kama huyo mtu yuko kwenye undetectable status. Hii status inafikiwa pale mwathirika anapotumia ARV na kumaliza wadudu wanaozunguka kwenye damu na akawa anaendelea kutumia dawa.
Hizo PEP ni buree au..??? Afu dose yake ni muda gani...Kama umekutana na demu anayetumia hivyo mmeshiriki bila condom ,na bado masaa 72 hayajaisha ukiwa hospital utapata PEP (Post Exposure Prophylaxis) na utakuwa salama ...Asante
Mkuu nimecheka sana I see. Naona sasa mnataka kumuua mtoa mada kwa pressure.Msalaaa skuizi hawaiti ARV wanaita ubuyu huo ubuyu kabisa ndowenyewe live bila chenga