Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

GISAMBO

JF-Expert Member
Mar 14, 2014
1,170
1,892
Naomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin
1491069568262.jpg


======

Ni hivi, huyu dada anakaa Arusha, nilikutanaga naye kwenye semina moja hivi tukabadilishana contact kiukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni mzuri sana yani mzurii natamani hata niweke picha zake but nimeona sio poa kisuuu yani white ana kashepu flan hivi hatari huo mdomo sasa yani ni mzuri kiukweli.

sasa baada ya mimi kumtongoza ilimchukua mda sana kunielewa kidogo nikate tamaa but mwisho wa siku alinikubalia mapenzi yakaanza kwa phone yupo Arusha nipo Dsm yeye alisomea marketing na alikua anatafuta kazi nikajitoa muhanga mzee kusaka ajira kwa ajili ya mrembo.

Ndugu yangu mmoja upande wa mama yangu yupo pale voda, Mama yangu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizio mimi ndio nataka kazi, bwana nikaenda nikachonga nae nikamueleza ukweli kwamba sio mimi ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume CV, kweli bwana mwisho wa siku akatuma CV.

Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabidi sasa aje town kweli kafika Dar akafikia kwa shangazi yake Kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nilifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miezi mitatu akapanga Sinza.

Hapo kila nikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana huwezi amin miezi 5 yote kidume nakula kalenda tuuh tuuh hiyo siku nilienda kwake nusu tupigane, eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kuwa nitakuja kulala huko leo , vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani. Nikaenda geto kwangu Mwenge kuchukua ndom na kurud usiku ule ule.

Nilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu hakuwa anaonyesha kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida.

Sasa zile kurupushani za usiku mpaka vitu vingi kuanguka chini yani vilikua shaghala bagala, akaenda kuoga na mimi nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hivi zipo chini.

Mmhhh kwa sikushtuka ila nikahisi kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko, leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga karibu magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hivi babu, akaniambia eti vitakua vya kuongeza damu hivi nishatumiaga sema vidogo vyake hivi vikubwa sana.

Kuna mwana mwingine akandandia ARV hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu baadae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa JF ila yule mwanamke hajui chochote.
 

Attachments

  • 1491069573316.jpg
    1491069573316.jpg
    30.2 KB · Views: 511

Similar Discussions

Back
Top Bottom