Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,188
- 2,795
Ipo na intake ya kwanza kabisa ndo wako mwaka wa tatu na kama sikosei sa hv wako Mbeya FieldSamahanini wana zuoni naomba mnisaidie kujua hv UDSM kuna kozi ya udaktari wa binadamu kama ile inayotolewa muhimbili,kama ipo ,ipo kitivo gani