ager de don
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 621
- 320
Umeniacha kidogo mkuuMD ni mental disorder
Itapendeza zaidi ikiwa hii maana wagonjwa hawa wanazalishwa na kiwanda flani
Umeniacha kidogo mkuuMD ni mental disorder
Itapendeza zaidi ikiwa hii maana wagonjwa hawa wanazalishwa na kiwanda flani
Mbona unazunguka.sema walisimamishiwa udahili kwa kukosa sifa.....ooooh Mara watahamishiwa..unajua hao walikosasahivi? Watu mjuaga kitu kibaya wanafanyaga udom tu...kama n kuhamishiwa kwanini hawajahamishwa mpaka sasa hivi? Kelele kitu gani? Hivi udsm iliko na muhas kupi kunakelele....Waliirudisha 2015 ila mwaka huu hawajaapply waliopo watahamishiwa mologanzira(muhas mpya) wamesema huez somesha madaktar kwenye kelele za sanaa
Brother hadithi za sungura na fisi.be short and clear,udsm wamesimamishiwa udahili kwa kuwa hawana sifa,wanatakiwa warekebishe ndo wataruhusiwa...oooh Mara hapo zaman,Muhas inajitegemea wala hakuna uhusiano kwa karibu miaka ishirini,sijui unaipamba udsm niniHapo zamani za kale, Muhimbili, Ardhi, Mkwawa na Duce zilikuwa ni 'faculty' katika chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Kati ya hizo Ardhi na Muhimbili vikatenganishwa vikawa vinajitegemea ila Mkwawa na Duce zikabaki kuwa University college au branches za UDSM!
Anazunguka jibuMkuu unataka kusema faculty na college ni kitu kimoja?
Maelezo yako yamenichanganya kidogo
Unaposema hizo taasisi zilikuwa faculty za udsm badala ya kusema zilikuwa college
Mmmh brother udsm wamejenga lini chuo mbeyaMD ilirudishwa 2015/2016 na pia wakachukua wanafunzi 2016/2017 ila mwaka huu 2017/2018 hawajachukua wanafunzi .
Na wale ambao walikuwepo wamehamishiwa Mbeya wote nasikia kuna chuo hko kimejengwa.
Kwa sasa hivi udsm hamna MD.
Toka lini mwaka wa 2 anafanya mafunzo kwa vitendo....hivi unaijua MD program nduguMkuu mbeya watakuwepo kwa muda wa mwaka mmoja tu then nadhani wakiingia mwaka wa 4 watakuwa mloganzila uko mbeya wanafanya mafunzo kwa vitendo.
Udsm huwaga hawapendi kusikia ukweli ndio maana wamejikanyaga sana.Mara mloganzila Mara ziligawanywa,huwaga wanafikiri wao n perfect kila sikuUDSM haikua na sifa ya kutoa MD
so imefungiwa kudahili wanafunzi ktk coz hiyo.
Mkuu now ni mwaka wa 3 wanafanya rotation katika hospital(research za magonjwa kama ya watoto.) mwaka mzima watakuwa kule mimi mdogo wangu ndio anasoma na amenambia ivo mkuu.Toka lini mwaka wa 2 anafanya mafunzo kwa vitendo....hivi unaijua MD program ndugu
Mmmh brother udsm wamejenga lini chuo mbeya
Koleji nzima ya afya imehamia Mbeya kuanzia mwaka huuMkuu mbeya watakuwepo kwa muda wa mwaka mmoja tu then nadhani wakiingia mwaka wa 4 watakuwa mloganzila uko mbeya wanafanya mafunzo kwa vitendo.
Sina hakika kama wamefika MD3 ila ninachojua mwaka wa pili huwa kuna field inayofanyika mwaka wa pili research,but not clinical training.vyuo vyote Tanzania wanafunzi wakaa darasani kucover theory field kitu cha mwezi mmoja au miwili labda....udsm wanamwaka wa pili hawana wa kwanza maana walifungiwaMkuu now ni mwaka wa 3 wanafanya rotation katika hospital(research za magonjwa kama ya watoto.) mwaka mzima watakuwa kule mimi mdogo wangu ndio anasoma na amenambia ivo mkuu.
Hawana chuo mbeya.labda tu wamepanga maeneo ili wanafunzi wao wakae jiran na eneo ambalo kuna madactar wa kuazima wawafundishe wanafunzi wao theory.mwaka wa pili s mwaka wa clinical seriously....UDSM walihitaji Muda wa kujipangaNadhani anakizungumzia mzumbe maana ndo wana tawi mbeya
Teaching hospital,particularly wanawalenga masters na super speciality,ndio plan ya Muhas,hawa undergraduate wanabaki kulekule main compass,ila hawa udsm wanajihakikishia kwamba watahamia mloganzira sijui nani akiwaambiHivi mloganzila ni campus nyingine ya muhas au ni hospitali ya chuo? maana naona watu wanasema ni chuo..