Msaada: Hivi ni vidonge gani?

Halijaandikwa nimevikuta vimefungwa kwenye karatasi nahic kama n arv
Vimefungwa kwenye karatasi na kufichwa kabatini, kwenye soxy, mfukoni ama eneo gani?
Dadavua nikwambie. Ila hivyo vya rangi ya blue bahari ni kama "dushe generator".
 
Duuu
 
Vimefungwa kwenye karatasi na kufichwa kabatini, kwenye soxy, mfukoni ama eneo gani?
Dadavua nikwambie. Ila hivyo vya rangi ya blue bahari ni kama "dushe generator".
Vilikuwa ndani ya begi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…