Msaada : HILINK modem

Dansel

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
249
59
msaada jaman modem yng ya vodacom (hilink) inasumbua yan mtandao wake 3G lkn ukifungua hata jamiiforum yan kufunguka inakataaa kabisa bd cjajua tatizo n nn !!!! MSAADA JAMAN C ENJOY INTERNET KABISA
 
msaada jaman modem yng ya vodacom (hilink) inasumbua yan mtandao wake 3G lkn ukifungua hata jamiiforum yan kufunguka inakataaa kabisa bd cjajua tatizo n nn !!!! MSAADA JAMAN C ENJOY INTERNET KABISA

I force isome WCDMA Only...vinginevyo Unlock hiyo modem tumia line nyingine yenye kasi nzuri
 
kwenye kuunlock nitumie method ipi maana na firmware za E303 lakini hii ni Hilink E303s 2
 
Back
Top Bottom