Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Hiyo hapo mkuu niangalizie
mkuu j7 prime haina amoled hivyo usishangae quality ya kioo ni kawaida kwa hii simu.

kuhusu muonekano pengine imeekwa themes? sababu huo muonekano hata mimi umenishangaza, jaribu kwenda setting then themes una uwezo wa kudownload themes na kueka nyengine? kama ndio basi ni original hii. utatakiwa utengeneze samsung account kama huna.

hizi picha zinaonesha ni original ila picha mbona ni ndogo? umezi resize kabla hujazituma?
 
Nimeongea nae tumeelewana vzr ili kama ni feki atanibadilishia atanipa aina nyingine hata sony lkn hadi nijiridhishe ni original lkn nawasubiri viongozi waje hapa kunisaidia
 
Jaman mkuje jaman nawasubiri mwe !duka litafungwa
 
Nimeongea nae tumeelewana vzr ili kama ni feki atanibadilishia atanipa aina nyingine hata sony lkn hadi nijiridhishe ni original lkn nawasubiri viongozi waje hapa kunisaidia
Sija resize but nimescreen shot nikaweka hapo hivo hivo
 
Sija resize but nimescreen shot tu nikazituma. But theme nazipata wapi
 
Nikidownlod theme inaniandikia hivo hayo maandishi mdogo hapo chini hapa sasa sijui ndo feki
 
Nililuwa nadhani ikitokea hivo ndo original, yani hiyo kijani na blue, au hiyo ndo amolled
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…