Msaada hii CD/DVD inanigomea kusoma.

Msaada hii CD/DVD inanigomea kusoma.

Lipijema

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
953
Reaction score
1,540
Ndugu naomba unielekeze ni nini cha kufanya ili hii CD/DVD yangu iwe Ina oparet kama mwanzo, angalau itumie upande wa USB tu, hii ni aina ya SINGSUNG; Upande wa power ipo inawaka na pale kwenye display inaandika ( no card! Naomba mwenye
maujanja nijulishe ili niweze kutatua tatizo hili
 
Back
Top Bottom