Msaada hichi ni nini? Pumbu linawasha

Hiyo ni fangasi. Pumbu erosion. Nenda duka la madawa au hospitali watakupa Dawa
 
Kwenda hospital atakuwa anaona aibu ila mkuu dawa za hospital maumiv sio ya nchi hii tafuta maji ya matawi ya mlimao week 1 utakuwa umepona tayar
 
Mkuu tafuta antifungal cream paka kwa wiki tatu then njoo ulete mrejesho.
Ila usiache kuzingatia kanuni za usafi kama wadau wengine walivyokulekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…