Msaada heslb

Msaada heslb

kategera

Member
Joined
May 31, 2015
Posts
22
Reaction score
8
Wadau nlichaguliwa chuo mwaka Jana na nikapewa mkopo,lakin kwa bahat mbaya chuo skuenda coz nlipata matatizo, mwaka hu nmefanya application ya chuo na mkopo upya ,
ivi wanaweza kunipa mkopo, ushaur wadau tafadhar
 
yeah utapata....kama jina lako halitatoka inabd uende bodi ukawaelezee situation.....m pia nlipata the same situation nikaenda bodi na baadae nikapata mkopo....xo ukipata chuo nenda bodi mapema
 
duuuh!! Pole ndugu yangu.. Roho inaniuma coz nahis kilichokukuta wwe na mm kitanikuta mwaka huu. Duuu...
 
yeah utapata....kama jina lako halitatoka inabd uende bodi ukawaelezee situation.....m pia nlipata the same situation nikaenda bodi na baadae nikapata mkopo....xo ukipata chuo nenda bodi mapema
Poa poa mdau nmekusoma
 
Wadau nlichaguliwa chuo mwaka Jana na nikapewa mkopo,lakin kwa bahat mbaya chuo skuenda coz nlipata matatizo, mwaka hu nmefanya application ya chuo na mkopo upya ,
ivi wanaweza kunipa mkopo, ushaur wadau tafadhar

hupati ww.mkopo coz hukutoa taarfa bodi
 
jamani wakuu eti mkopo kwa mtu wa medicine 100% ni tsh ngapi!?

Inategemea na ada ya chuo kama ni kubwa hiyo 100% utakayopewa haitatosha hivyo utaongezea ila kwa vyuo vya serikali na private baadhi ni rahisi kulipiwa ada yote maana ada yake siyo kubwa,for more information consult tcu guide book.
 
Dah tumbo joto nw limetulia, loan hyo nono nikwenda kupiga msuli tu
 
yeah utapata....kama jina lako halitatoka inabd uende bodi ukawaelezee situation.....m pia nlipata the same situation nikaenda bodi na baadae nikapata mkopo....xo ukipata chuo nenda bodi mapema

Mkuu walikupa process gani hadi ukapata mkopo..?
I mean ulifata process gani hadi ukapata mkopo na ilikuchukua mda gani?
 
nlienda bodi nikawaeleza ...wakaniomba namba yangu ya form four...nikawapa then wakaniambia nisubiri wiki 2...baada ya wiki 3 jina likatoka na nikapata
 
Wadau nlichaguliwa chuo mwaka Jana na nikapewa mkopo,lakin kwa bahat mbaya chuo skuenda coz nlipata matatizo, mwaka hu nmefanya application ya chuo na mkopo upya ,
ivi wanaweza kunipa mkopo, ushaur wadau tafadhar

unapata tu ndg usiwe na shaka mungu atakusaidia mm rafik yang alidisco na alikuwa na mkopo bt kaomba chuo mwaka huu kapewa na mkopo kapewa ada 1.5 out of 1.6
 
Back
Top Bottom