msaada hatua ya mwisho kuapply mikopo

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
276
habari wakuu, naomba msaada katika hatua yaa mwisho ya kukamilisha ujazaji a fomu za online za bodi ya mikopo katika kusubmit wamandika "PRINT AND SSUBMIT YOUR APPICATION FORM AND ATTAACHME'' ukiclick zinkuja documents katika pdf kwa jili ya kuprint sasa je hpo ndioo unakua ushasubmit tayarii? nlitaka kujua hivo tu wakuu.
shkran sana
 
HUENDA IKAWA HIVYO, UKISHAPRINT HIZO FORM NA KUZIJAZA VYEMA NDIO UNAZITUMA BODI

SINA HAKIKA SAANA ILA NGOJA WAJUZI ZAIDI WAJE KUKUSAIDIA MKUU
 
Ukisha print kwa mara pili ndo usha submit tayari soft copies heslb. Kwahiyo utatakiwa uitunze hiyo pdf yako kwa kumbukumbu ya baadae. Then utachukua ile form uliyoprint mara ya kwanza utaambatanisha na zile page ulizopeleka kusaini. Unaunganisha kuanzia karatasi ya kwanza hadi ya sita pamoja na cheti ya kuzaliwa na kitambulisho cha mdhamini unaenda kusubmit hard copies posta.
 
shukran sana nimejtosheleza
 
swali la nyongeza ktk kuapply vyuo. .....ukiweka no ya mtihani basi system yenyewe inaweka matokeo yako je kuambatanisha attachment ya vyeti ni lazima?
maana deadline imekarbia na option ya kuattach haionekn ukija ktk preview mwisho ina comment no attachment uploaded .
je nawza kusubmit hvo hvo
 
Submit tu
 
Usiweke attachment ambayo hujaandikiwa. Kama wangekuwa wanahitaji hizo attachment wangeandika kwenye ile karatasi ya mwisho. Maana katika form za mwaka jana waliandika, kwahiyo jitahidi kufuata maelekezo.
 
Itakua MUST hao..we submit tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…