Msaada: Hatari hatari hatari mbele ya safari

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
2,532
Reaction score
3,177
Habari wakuu ,

Mimi ninaishi Arusha mitaa ya kwa Morombo.Ninachangamoto ninayoiona kama hatari kwa siku za usoni ndo maana nipo hapa kupata mawazo yenu wakuu.

Ni hivi karibuni nimefahamiana na binti mmoja mrembo sana hapa kazini na kuanza mahusiano ya kimapenzi. Stori ni hivi, mwezi Julai mwaka huu (2016) kuna msichana mzuri sana alikuja kazini kwetu kwa ajili ya kujifunza na kupata uzoefu wakati anasubiri kuingia university.

Mlimbwende huyo amemaliza kidato cha sita mwaka huu shule moja huko Njombe,O'level alisoma Ngarenaro sekondari (kwa wakazi wa Arusha wanaifahamu) na kwao ni mitaa ya Mbauda(jina sitamtaja)

Tulianza mahusiano baada ya kupewa maelekezo na mkuu wangu wa kazi nimpeleke kitengo fulani hapo kazini ingawa mara ya kwanza sikumshobokea sana kutokana na kasumba niliyojijengea kuwa wazuri hujisikia sana hivyo hakuna haja ya kufanya mazoea nao na kupenda watu ambao wanaonwa na kila mnyatiaji kifupi nilimchukilia wakawaida. Baada ya kumaliza jukumu langu nililotumwa nilirudi kuendelea na shughuli zangu.Hapo kazini pia kuna wadada wengi tu na wanatabia fulani hivi ya kutoshobokea mazoea na mgeni yeyote yule anayeanza kazini hasa siku za mwanzo wanapokuwa hawajamfahamu mgeni.Jambo hili lilimfanya binti awe ajisikie mpweke cuz hakuna aliyemjali.

Niliitumia nafasi hiyo kuanza kujenga mahusiano naye kwa kumchangamkia hivyo mara kwa mara nilikuwa kimbilio kwake kwa changamoto za kikazi zilizomkabili.Tulijikuta tunazoeana na kutambulishana kwa nyanja mbalimbali za kimaisha.

Hapo ukawa ndo mwanzo kuanza kumjua kiundani ni baada ya kunipa contact yake,kila siku ilikuwa lazima nimjulie hali na kumchangamkia zaidi na zaidi kiukweli alikuwa akifurahia kampani yangu. Baadae taratibu nilianza kubadili gia angani na kuanza kumchomekea mapenzi maana niliona kumbe hana maringo niliyoyafikiria. Mara zote alinikatisha na kuniambia hapendi maongezi ya vile na hapo ulikuwa unakuwa mwisho wa mazungumzo kwa siku husika.

Niliendelea kushambulia kwa kwenda mbele na wakati mwingine kurudi nyuma anapokuwa mkali kwa suala analonikatalia kila siku hivyo sikukata tamaa nakumbuka siku moja aliniambia ameshapewa habari zote za wanaume hapo kazini kwetu kuwa wanapenda sana mademu hivyo aliniona ni miongoni mwao.

sikukata tamaa japo cha mtemakuni nilikuwa nakiona mwisho wa siku ombi langu lilikubaliwa ni baada ya kufuatilia kwa umakini kujiridhisha na alichoambiwa hapo awali juu ya wanaume wa kazini hivyo nikapewa nafasi na masharti mazito kwamba matendo yangu ndio yanaweza kumfanya anipende zaidi au anichukukie basi nilijitahidi kutenda mambo mazuri mbele za mtoto nisije nikaikosa fursa. Nilijitahidi sana kumnunulia zawadi ndogo ndogo za kawaida na kumpigia simu mara kwa mara kama dozi ya ngoma.


Sasa ishu ikaja kupewa mzigo hapo napo nikazungushwa sana, siku moja nikapewa promise ya kwenda kuzungumza nae kidogo nje baada ya masaa ya kazi ilikuwa Ijumaa maeneo yetu huko Mimi Afrika mitaa ya kwa Morombo Check Point. Sikuwa na papara sana maana alinihisi sana lengo ni papuchi yake tu hivyo kisaikolojia nilimuelewa mapema nikajifanya sina haraka na hilo jambo ambalo linilijengea imani kwake hivyo tuliagana salama salimini pasipo kumgusa kunako area code


Hivyo basi alijenga imani sana juu yangu na kunipenda kwa dhati japo kuna jambo jingine likaibuka lakutokuwa na imani juu ya afya yangu. Ni kweli kipindi cha nyuma nilikuwa kicheche sana maana nilikuwa naenda kwenye mbuga yetu pendwa pale Shivaz kununua swala, digidigi, fisi, nyati, tembo,ndege mwarabu n.
k,kifupi baby wangu alisita sana kunipa uchi wake pasipo kujua afya yangu. Nakumbuka siku moja tuliongea naye sana kwenye simu kuwa napata shida sana kunyimwa kitumbua kila siku hivyo akanipromise next week ananipa mwili wake wote ila papuchi nitaila kwa macho.

Basi siku hiyo ikafika sikuamini macho yangu nilimvulisha kila kitu nikala mate sana, nyonya chuchu kinoma kinoma mpk akawa hoi ila chupi hakuvua kamwe hapo dude limekasirika kinoma akajaribu kuninyonya mtambo ili nipiz lkn wapi sikupiz hata so nikamridhisha yeye kwa kumchezea sana akashuka kama mara mbili hivi siku hiyo ikapita,tukaahidiana kukutana siku nyingine tena hapo nyumba ya wenyeji ingawa kabla ya kukutana tena.......


Naomba niisishie hapa simu wakuu ina 8% na luku hapa kwetu imekata wapangaji wamekuwa wagumu kinoma kuchangia nitaimalizia kesho mchana
 
Loading....
dah! kama uongo kama ukweli vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…