Kwangu mimi Six pack inakuja automatic kama nikifanya mazoezi ndani ya mwezi mmoja tu. Ila sijui kama wasichana inawavutia na kwanini. Wewe nani alikuambia wanavutiwa?
ha ha ha ha ha ha kwa hyo wewe unapendelea huo mwili wa kwanza? Hapo juu ?
Halafu wanazionaje hizo six pack wakati mtu amevaa nguo?au wakienda kutongoza wanavua mashati?
Six packs inamaana tumbo liko imara..na uimara wa tumbo maana yake ni wa mwili hasa kiuno..mgongo..na mishipa ya uume hivyo kumuongezea mwanaume uwezo wa kufanya tendo kwa muda mrefu.Lingine ni hilo la kuwa na mwili wa kimazoezi ambao huongeza mvuto.
Mtu mwenye six packs anavutia zaidi kwenye mambo ya kikubwa, humfanya mwanamke asikie nyege kwa kiwango cha juu kabisa...tofaut na wanaume ambao hawana kama nundaz,ambapo inambid mwanaume atumie ujanja wake wa ziad kumfanya mwanamke awe katik hali ya utayari(nyege) kwa kiwango cha juu
Af wny six pack wanakuwaga na added confidence kidizain ,akiwa na sauti bass na motion flan hv ya kiume yanii ....bg up to all men who are real men mvuto wenu A plus....
Nachoweza kukushauri ni hivi - Epuka unene, kunenepa sana ni kukaribisha magonjwa yasiyo yalazima kama kisukari, Heart problems na mengineyo kama hayo! na usifanye mazoezi ili upate anasa, fanya mazoezi kuusaidia mwili wako ili ukusaidie katika shughuli zako za kimaendeleo za kila siku! epuka vyakula vya kunenepesha ikibidi kula dona la nguvu na mboga za majani na maziwa kila mara hata hiyo nguvu ya kumridhisha mwandani wako itapatikana tu tena ya kupitiliza ila ukikimbilia kujenga vigimbi kwenye tumbo ili upendwe na wadada angalia sana watakuja wenye maumbo yakawaida tu na wakakunyang'ganya kwa kutumia hekima na busara tu. Ila uchaguzi ni wako kijana
duh...! Inabidi watu tukomae tupate six pack kwa jinsi ulivyowasifia hapa naona kuna dalili ya kuja kunyanganywa wapenzi zetu na watu wenye six pzck kabisaa hapa.
je unatafuta huyo mwenye six pack?
wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
unaweza ukawa huna hzo six packs but mwl upo vzuri(huna kitambi),...js be and act like a man,ladies die for that...am a woman ooo,i know
wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?