wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
eheee......sawa sawa........sasa......kwa kuwa na mimi binafsi ni mdau wa hiyo kitu.........naweza kukuhakikishia kwamba nitakueleza........lakini huwa inafaa sana kwa vitendo.........upo tayari....?
mkuu je juna mahusiano ya moja kwa moja kati ya six pack na paerfomance ya kitandani? Kama yapo nipatie hyo elimu mkuu.
nipo tayari PRETA: Itakuwa elimu nzuri sana kwangu mimi. Pm tu hakuna shida.
habari ya sixpack inapendwa zaidi na wasichana wadogo.. ila kwa sie wakubwa, maturity ya mtu ni muhimu sana
bahati mbaya wengi hawsemi ukweli hasa wanaume! Wengi wanasema wanafanya mazoezi ya mwili ili kuweka mwili mbali na magonjwa...! hii inaweza kuwa sawa kwa upande wake kama mwananume lakini upande wa pili ndo sijajua kwa nini wanapendelea sana hii kitu..
wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa wakaka wenye mwili wenye six pack huwa wanapendwa sana na wadada. Hii pia naiona hapa mjini wakaka wengi wanajitahidi kufanya mazoezi ya kufanya miili yao iwe na hizo six pack. SWALI kwa wadada wa humu jamii forum huu mwili wenye six pack unasaidia nini kwenye mahusiano ya mapenzi? Je kuna tofauti gani kufanya mapenzi na mtu mwenye hyo six pack na ambaye hana hizo six pack? (hapa kwa walio wahi kufanya mapenz na hao watu wenye hizo) .SWALI kwa wakaka hivi hyo six pack inakusaidia nini tofauti na kupendwa na wadada? Shukrani kama nitaelimiswa vizuri na kupata kitu kipya maishani.