Hii kitu ni too personal kuiulizia hadharani nundaz. Labda kama una rafiki yako mwenye six pack ungemwendea na kumwuliza angekueleza. Lakini hapa hadharani, hakuna atakayejitokeza. Watu hawapendi kutoa preferences zao za mapenzi hadharani - hiyo ndo social law.kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa wakaka wenye mwili wenye six pack huwa wanapendwa sana na wadada. Hii pia naiona hapa mjini wakaka wengi wanajitahidi kufanya mazoezi ya kufanya miili yao iwe na hizo six pack. SWALI kwa wadada wa humu jamii forum huu mwili wenye six pack unasaidia nini kwenye mahusiano ya mapenzi? Je kuna tofauti gani kufanya mapenzi na mtu mwenye hyo six pack na ambaye hana hizo six pack? (hapa kwa walio wahi kufanya mapenz na hao watu wenye hizo) .SWALI kwa wakaka hivi hyo six pack inakusaidia nini tofauti na kupendwa na wadada? Shukrani kama nitaelimiswa vizuri na kupata kitu kipya maishani.
kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa wakaka wenye mwili wenye six pack huwa wanapendwa sana na wadada. Hii pia naiona hapa mjini wakaka wengi wanajitahidi kufanya mazoezi ya kufanya miili yao iwe na hizo six pack. SWALI kwa wadada wa humu jamii forum huu mwili wenye six pack unasaidia nini kwenye mahusiano ya mapenzi? Je kuna tofauti gani kufanya mapenzi na mtu mwenye hyo six pack na ambaye hana hizo six pack? (hapa kwa walio wahi kufanya mapenz na hao watu wenye hizo) .SWALI kwa wakaka hivi hyo six pack inakusaidia nini tofauti na kupendwa na wadada? Shukrani kama nitaelimiswa vizuri na kupata kitu kipya maishani.
wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
Hii kitu ni too personal kuiulizia hadharani nundaz. Labda kama una rafiki yako mwenye six pack ungemwendea na kumwuliza angekueleza. Lakini hapa hadharani, hakuna atakayejitokeza. Watu hawapendi kutoa preferences zao za mapenzi hadharani - hiyo ndo social law.
wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
generalization is always false...different women have different tastes...mimi binafsi ningependa kuwa na mwili kama huo wa jamaa wa pili. But do you know why women prefer that kind of body? Sababu hasa nini kwa wao kuvutiwa na miili kama hyo?
Duh kitambi noma, hapo nikuita presure na kisukari, mazoezi muhimu yanafanya mtu uwe active katika kila jambo, alafu minyama uzembe inafanya usipendeze ukivaa baadhi ya nguo
Kwangu mimi Six pack inakuja automatic kama nikifanya mazoezi ndani ya mwezi mmoja tu. Ila sijui kama wasichana inawavutia na kwanini. Wewe nani alikuambia wanavutiwa?