Msaada: Hard disc haionekani baada ya kupiga windows!

Boniphace17

Senior Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
118
Reaction score
42
Sijajua tatizo ni nini, lakini mara baada ya kupiga window 7 previous mashine ilikua na wndw XP, disc D haionekani..!
Where have i done wrong?
Natanguliza shukurani!
 
Ushauri wa bure, hadi ulipofikia hapo kuna makosa umeyafanya bado unahitaji kufanya makosa mengine tena??? Ni bora tafuta fundi yoyote akusaidie kunusuru data zako.
 
Sijajua tatizo ni nini, lakini mara baada ya kupiga window 7 previous mashine ilikua na wndw XP, disc D haionekani..!
Where have i done wrong?
Natanguliza shukurani!
Huenda haina partition name tu, fanya hivi
Right click kwenye computer icon kisha click "manage" itakuletea "computer management", kwenye "computer management" click kwenye "disk management" halafu angalia kama kuna partition ya hiyo disk ambayo haionekani, kama inaoneka right click halafu click kwenye "change drive letter and paths" then click kwenye "change" na assign letter unayotaka e.g D.
Feedback please
 
we mkali mkubwa!
Thank you so very much dude... I've made it..thanx again!
 
Back
Top Bottom