wewe ni mke wa Ndoa?na ndoa gani?hebu tujibu haya maswali tukupe ushauriNimeolewa nina mtoto,mume wangu kachepuka kampa mchepuko mimba,sasa kachanganyikiwa aishi na nani,kaanza kufunga na kusali ili Mungu amuonyeshe nani mke wake,kaenda Malawi kwa mchungaji Mmoja anaitwa Bushiri akamtabiria aachane na mke wa ndoa aende kwa mchepuko, salsa hivi hapashikiki, jamaa anataka kunipa talaka ili aoe mchepuko,ushauri jamani.
wewe ni mke wa Ndoa?na ndoa gani?hebu tujibu haya maswali tukupe ushauri
Pole sana,hebu tuliza boli dada,huyo mumeo katengenezwa huko na huyo mwanamke mwingine akili ikikaa sawa atarudi kwako tu,pole sana!Ndoa ya kanisani Roman Catholic
Unauhakika na jina la huyo mchungaji? jina lake halianzii na herufi G kweli?Nimeolewa nina mtoto,mume wangu kachepuka kampa mchepuko mimba,sasa kachanganyikiwa aishi na nani,kaanza kufunga na kusali ili Mungu amuonyeshe nani mke wake,kaenda Malawi kwa mchungaji Mmoja anaitwa Bushiri akamtabiria aachane na mke wa ndoa aende kwa mchepuko, salsa hivi hapashikiki, jamaa anataka kunipa talaka ili aoe mchepuko,ushauri jamani.
Haya makanisa huwa yana wapotosha sana.Nimeolewa nina mtoto,mume wangu kachepuka kampa mchepuko mimba,sasa kachanganyikiwa aishi na nani,kaanza kufunga na kusali ili Mungu amuonyeshe nani mke wake,kaenda Malawi kwa mchungaji Mmoja anaitwa Bushiri akamtabiria aachane na mke wa ndoa aende kwa mchepuko, salsa hivi hapashikiki, jamaa anataka kunipa talaka ili aoe mchepuko,ushauri jamani.
Ndoa ya kanisani Roman Catholic