Msaada haraka...simu hii nitaipata wapi dar es salaam? Bei yake ni shi ngapi

Msaada haraka...simu hii nitaipata wapi dar es salaam? Bei yake ni shi ngapi

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
55
newnote_banner.png
 
Nataka kununua simu hii haraka naomba msaada nitaipata duka gani? mlimani city?
 
Mkuu hii sio simu bali ni tablet, mlimani city zinapatikana na posta pia zinapatikana ila sijui bei yake
 
Hiyo kila mahali utapata. Hata hapa kwa MANGI naona anazo nyingi tuu..
 
Tayarisha laki saba max... Hiyo ni tablet!!! Fika samsung mcity or quality centre utaipata
 
tablets sio simu jamaa Samsung shops zpo za laki 9 na M1 na kilo2...Ila kimagumashi bei chee tuu
 
Back
Top Bottom