Msaada haraka: mtoto analia siku nzima

jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni
Ni kawaida na inaweza kukupeleka hadi miezi miwili. Mtoto ndo anaanza kubadili mazingira kutoka tumboni mwa mama na anaanza haya yetu tunayokimbizana na akina "bashite". Mwambie Mama mtoto asiwe mvivu kunyonyesha (ujue mtoto anapotulia kunyonya anaweza kunyonya usiku kucha au mchana kutwa endapo usiku mmekesha). Mama mtoto ale vyakula vinavyochochea ongezeko la maziwa. Uliza "wakubwa" hapo ulipo vingine ni vyakula vya asili kama mbegu za maboga, ukisagia kwenye mboga hasa nyama ya ng'ombe ya kubanika ni balaa. Mtoto atashiba kinoma yaani. Ni vema akimaliza kunyonya uwe unahakikisha anabeua kwa kumweka begani uso wake akitazama vice versa na wewe/mama. Ni vema akitulia na akibahatisha usingizi alazwe kifudifudi huku shingo limegeuzwa kidogo kulia au kushoto ili apumue vizuri. Sishauri atumie mafuta ya samaki au grip water kwa umri huo ila ikilazimu basi mpe kidogo. Otherwise ndo ukubwa huo. Kulea mimba si kazi, kazi kulea mwana.
 
Me mwanaume, nimeshukuru kwa7b soon nataraj pata the new born son, inshaallah mwenyez akijaalia... Thus changamoto kam hizi ikitokea zikamtokea mama wa mwanangu... Ntakua cna budi kumwelewesha ili kumtoa wasi, upo mkuu?
mama wa mwanao kwa hio sio wife wako? kiwanda cha ku tengeneza single mothers?!
 
jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni
Nenda kamuone Dr. wa watoto na inawezekana huyo mtoto akawa hashibi vzr ebu kazana kumnyonyesha sana.
 
Reactions: BAK
Lol! Hahahahaha kama nakuona vile frustrated huku ukimwaga chozi zito lisilokatika. Hilo la mtoto kutoshiba inawezekana kabisa lakini hospital pia muhimu ili kuhakikisha kichanga yuko salama.

Itakuwa hashib vizur mtt hat mie nilivyopat first born wangu alikuwa analia mnoo had nami naanza kulia nae khaa uzao wa kwanza ni shid jamn looh
 
Lol! Hahahahaha kama nakuona vile frustrated huku ukimwaga chozi zito lisilokatika. Hilo la mtoto kutoshiba inawezekana kabisa lakini hospital pia muhimu ili kuhakikisha kichanga yuko salama.
Acha tu uzazi wa kwanza ni shid kabisa
 
Reactions: BAK
Ndiyo sababu wengi huwaomba mama zao, shangazi, dada etc waje waishi nao kwa muda ili kusaidia katika hali kama hizo waweze kutumia uzoefu wao wa kujua KULIKONI.

Acha tu uzazi wa kwanza ni shid kabisa
 
Ndiyo sababu wengi huwaomba mama zao, shangazi, dada etc waje waishi nao kwa muda ili kusaidia katika hali kama hizo waweze kutumia uzoefu wao wa kujua KULIKONI.
Huwezi amin nilikuwa na shemej yako tu coz familia ipo mbali mnoo ndo nikakwambia akilia mtt na mie nalia ila namshukur mungu kamekuwa now nishazoea ila mwanzo mgumu
 
Reactions: BAK
Pole sana sasa umeshakuwa expert 2nd born hutalia tena.

Huwezi amin nilikuwa na shemej yako tu coz familia ipo mbali mnoo ndo nikakwambia akilia mtt na mie nalia ila namshukur mungu kamekuwa now nishazoea ila mwanzo mgumu
 
Njaa huyo ...yashanikuta hayo...mkamulie weka ktk chupa safi mpe mpaka maziwa yako yatakapochanganya...au chuchu yako haipati vizuri so anaumia muscles za mdomo
 
jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni
Njaa.
Wewe hunyonyeshi vizuri unaona aibu kutoa ziwa kunyonyesha mtt.
 
a
ahsante mkuu
 
Amina nashukuru ndugu
 
thanks alot mungu akubariki
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…