Msaada hapa wakuu wa kozi nzuri

Anselem mathew

Senior Member
May 17, 2017
107
66
Hivi wakuu kati ya nursing na clinical medicine IPI kozi nzur kwan guidebook ya 2017/2018 certificate ya nursing ni C mbili chm& bioz na D physics but certificate ya clinical medicine ni D flat PCB
 
Hivi kati ya nursing na kozi ya clinical medicine IPI kati ya hizi ni bora kuliko nyingne kwan according to the guidebook ya 2017/2018 kwamba certificate ya nursing ni C in chm& bioz na D physics but clinical medicine certificate ni D flat in PCB nn chanzo juu ya hili na kwann wamefanya hivi ama wamekosea tu hapo nn
 
Hivi wakuu kati ya nursing na clinical medicine IPI kozi nzur kwan guidebook ya 2017/2018 certificate ya nursing ni C mbili chm& bioz na D physics but certificate ya clinical medicine ni D flat PCB
Upo sahihi kweli? Yan vigezo vya nursing viwe juu ya clnical officer
 
Hii ni kwa sababu nursing watu walizoea magumashi sana na hata kwenye vyeti feki sekya ya afya wengi walikua manesi

Mimi natamani diploma zote za AFYA wangeazia C kwa PCBM maana hawa wanaenda deal na maisha ya watu
 
Back
Top Bottom