Bless21
Member
- Aug 20, 2022
- 71
- 92
Guys kuna chuo huku iringa wanatoa short course za hii piaaa kuna hotel management for 6 month lakn wanasema ajira lazima
Me nataka kuuliza wenye uzoefu na haya masuala ili nijue kama naweza kusoma hata tour guide wasiwasi wangu hizi kaz zinaweza kulipa kdg mtu ukaridhika au ndio vile tena