Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
Ili uweke games kawaida inabidi uchakachue,thanx mkuu. nitakuwekea specification ya ambayo nataka kuichukua ili kaniambie kama itaweza
niuliza pia mahitaji yanayotakiwa ili nijifunze kuweka game kwenye ps 2, 3, 4 na Xbox.
maana nataka ninue nyingine na niweke games mwenyewe
mkuu me naomba niwe mwanafuzi wako unifundishe hadi niwe expert kabisa kwenye hizi mambo. nipo tayari kulipa ada. naomba utaratibu maana me layman kwenye hivi vituIli uweke games kawaida inabidi uchakachue,
1. Kwa ps 2 na 3 zinachakachulika na 4 baadhi ya version,
2. Kwa Xbox 360 inachakachulika ila one na series X hazichakachuliki.
Ukishachakachua una sideload tu rom, rom zinapatikana online.
Pia zipo Njia halali kote Xbox na Ps unasubscribe kama Netflix kwa mwezi unalipa around 20k mpaka 30k unapata Games zaidi ya 100 unacheza.
Hizo subscription zipo pia za magumashi sometime hadi dola 1 kwa miezi 3.
kwahiyo ukilipia kwa mwezi. pia mwezi ukiisha zinajifunga mpaka ulipe tena sio?Ili uweke games kawaida inabidi uchakachue,
1. Kwa ps 2 na 3 zinachakachulika na 4 baadhi ya version,
2. Kwa Xbox 360 inachakachulika ila one na series X hazichakachuliki.
Ukishachakachua una sideload tu rom, rom zinapatikana online.
Pia zipo Njia halali kote Xbox na Ps unasubscribe kama Netflix kwa mwezi unalipa around 20k mpaka 30k unapata Games zaidi ya 100 unacheza.
Hizo subscription zipo pia za magumashi sometime hadi dola 1 kwa miezi 3.
Ndiokwahiyo ukilipia kwa mwezi. pia mwezi ukiisha zinajifunga mpaka ulipe tena sio?
mkuu naomba uzingatie request yangu. nasubiri unipe muongozo wa requirementsNdio
Mkuu kama una swali uliza tumkuu naomba uzingatie request yangu. nasubiri unipe muongozo wa requirements
nimeuliza requirements za kuniwezesha kuingiza game kwenye psMkuu kama una swali uliza tu
Ukishachakachua Console yoyote ile kunakuwa na software ya kusideload hizo games, hivyo fahamu tutorial ya kuchakachua Automatic utajua namna ya kusideload. Si kazi ngumu mara nyingi ni click 2 ama 3 tu.nimeuliza requirements za kuniwezesha kuingiza game kwenye ps
mkuu ni kweli nahitaji internet ya router kudownload game za kuweka kwenye console? au hata bando la simu inatosha?Ukishachakachua Console yoyote ile kunakuwa na software ya kusideload hizo games, hivyo fahamu tutorial ya kuchakachua Automatic utajua namna ya kusideload. Si kazi ngumu mara nyingi ni click 2 ama 3 tu.
Kuna website inaitwa wololo utapata Habari zote na firmware husika za hizo console.
Internet ni internet tu, haijalishi ipoje.mkuu ni kweli nahitaji internet ya router kudownload game za kuweka kwenye console? au hata bando la simu inatosha?
Mkuu naomba unijuze website za kupata game za ps 4. Kama utaweza unipe link mkuuInternet ni internet tu, haijalishi ipoje.
Wanaposema unahitaji internet ya Router wanatumia standard zao za ulaya/Marekani.
Marekani mobile data ni ghali sana hivyo wanatumia internet za Majumbani kudownload mafile makubwa.
Kama una GB za kutosha hata simu wawezw tumia.
Mkuu naomba unijuze website za kupata game za ps 4. Kama utaweza unipe link mkuu
Shukran sanaa mkuu. Je naweza kudownload kwa simu then nikahamishia kwenye flash ndio niweke kwenye console?
Hio website mkuu, unaweza download kawaida ila kama una premium account ni vyema.
Alternative
- Download Game PSX PS2 PS3 PS4 PS5
Download Game PS4 PS3 PS2 PC ISO , PS4 FPKG, RPCS3 , Game PS4 5.05, 6.72, 7.02, 7.55dlpsgame.com
Waweza ila hizo gb si kitoto mkuu kama speed ya mawazo itaoshia njiani.Shukran sanaa mkuu. Je naweza kudownload kwa simu then nikahamishia kwenye flash ndio niweke kwenye console?
Sbukran mkuu... Nitakufuta nikikwamaWaweza ila hizo gb si kitoto mkuu kama speed ya mawazo itaoshia njiani.
Tumia adm kwa stability
Chief hiyo ni Fujitsu Esprimo D756, hiyo price inaridhisha kwa hizo Specs??Waweza ila hizo gb si kitoto mkuu kama speed ya mawazo itaoshia njiani.
Tumia adm kwa stability
Inategemea na matumizi mkuu ila bei si mbaya. Kama upo serious angalau gen ya 8 sasa hivi ndio minimum.Chief hiyo ni Fujitsu Esprimo D756, hiyo price inaridhisha kwa hizo Specs??View attachment 2264537
Haiwezi mkuu, Gta v unaweza cheza ila God of war haitaweza. Kama unanunua Amd tafuta ryzen, hizi za zamani hazina nguvu.AMD A8-7410APU with AMD Radeon R5 Gfaphics 2.20GH
Wakuu naweza cheza mortal combat gta, god of war n.k kwenye hii machine?