shukrani mkuu....nmekuelewa Sanaa...nitakayo ipata nitaileta hapa tuijadili.Gpu muhimu tena sana kwenye games, elewa concept hii itakusaidia kufanya maamuzi.
-kila cpu inakuja na gpu yake ya ndani
-si dedicated graphics zote zina nguvu kushinda gpu zinazokuja na cpu
Hivyo unaweza nunua laptop yenye gpu ya nvidia ikawa kimeo kushinda hata laptop isio na dedicated gpu.
Kujua gpu nzuri ya nvidia unatakiwa uangalie namba ya yapili (yakatikati) hio ndio inamaanisha power
Mfano angalia hizi score za benchmark
Nvidia gtx 275 = 1215
Nvidia gt 610 = 356
Kikawaida ukitajiwa 610 na 275 utasema 610 ni kubwa ila kwenye gpu mambo yapo tofauti 275 ni kubwa sababu namba ya katikati ni kubwa namba ya mwanzo ni version tu.
Hivyo angalia hio gpu ya nvidia kama ni
X10
X20
X30
*x inaweza kuwa namba yoyote
Achana nayo ila kama namba ya kati ni 4 kupanda juu ni nzuri, au kwa uhakika zaidi unaweza ileta humu tukaiangalia.
Kwenye gpu zinazokuja na processor tafuta atleast hd 4600 au intel iris pro ndio utaenjoy game kwa 720p
HP Pavilion 15... core i5 1.7ghz boosted to 2.4ghz... ram 8gb and hdd 750gb... 2gb dedicated nVidia GeForce 830m 15.6" LED Display...Gpu muhimu tena sana kwenye games, elewa concept hii itakusaidia kufanya maamuzi.
-kila cpu inakuja na gpu yake ya ndani
-si dedicated graphics zote zina nguvu kushinda gpu zinazokuja na cpu
Hivyo unaweza nunua laptop yenye gpu ya nvidia ikawa kimeo kushinda hata laptop isio na dedicated gpu.
Kujua gpu nzuri ya nvidia unatakiwa uangalie namba ya yapili (yakatikati) hio ndio inamaanisha power
Mfano angalia hizi score za benchmark
Nvidia gtx 275 = 1215
Nvidia gt 610 = 356
Kikawaida ukitajiwa 610 na 275 utasema 610 ni kubwa ila kwenye gpu mambo yapo tofauti 275 ni kubwa sababu namba ya katikati ni kubwa namba ya mwanzo ni version tu.
Hivyo angalia hio gpu ya nvidia kama ni
X10
X20
X30
*x inaweza kuwa namba yoyote
Achana nayo ila kama namba ya kati ni 4 kupanda juu ni nzuri, au kwa uhakika zaidi unaweza ileta humu tukaiangalia.
Kwenye gpu zinazokuja na processor tafuta atleast hd 4600 au intel iris pro ndio utaenjoy game kwa 720p
HP Pavilion 15... core i5 1.7ghz boosted to 2.4ghz... ram 8gb and hdd 750gb... 2gb dedicated nVidia GeForce 830m 15.6" LED Display...
mkuu kuna Hii nmeiona kwa mtu VIP inafaa?
1. Hio gpu ni ndogo. 830m ni equivalent na hd4600 ambayo ni igpu tu.
-Nvidia 830m passmark score 749
-intel hd 4600 passmark score 719
Hivyo hapo hauongezi kitu kikubwa sana.
2. Hio cpu ni ndogo nna uhakika ni i5 za u version ambazo si nzuri kwa gaming na umeme upo limited kwa 15 watts tu.
Tafuta cpu zinazoishiwa na m nyingi clock speed yake inaanzia 2.5ghz
Muone kende jana alilist laptop nzuri akuambie yeye anazipata wapi
okey mkuu ...na vp hizi zenye AMD?
hii vp?
Unamaanisha amd processor au gpu?
Hakuna processor ya amd yenye power zaidi ya i5 ya 4th generarion japo hizo processor za amd zina gpu nzuri.
Incase unaenda amd sio mbaya ila hakikisha cpu yake ni A10 series au A8.
Ila sirecomend amd
Kwa gpu sio mbaya unaweza kuwa na combination ya intel cpu na gpu za amd

lenovo ideapad flex 20308
mkuu nmekutana na hii lenovo naomba uniangalizie specs kama itanifaaa
1. Hio gpu ni ndogo. 830m ni equivalent na hd4600 ambayo ni igpu tu.
-Nvidia 830m passmark score 749
-intel hd 4600 passmark score 719
Hivyo hapo hauongezi kitu kikubwa sana.
2. Hio cpu ni ndogo nna uhakika ni i5 za u version ambazo si nzuri kwa gaming na umeme upo limited kwa 15 watts tu.
Tafuta cpu zinazoishiwa na m nyingi clock speed yake inaanzia 2.5ghz
Muone kende jana alilist laptop nzuri akuambie yeye anazipata wapi
Mkuu .. vp hii hp envy 15 i7 8gb ram nvdia gt 830?hizo laptop za fashion zikimbie kama unataka kucheza games sababu zinakuwa na processor dhaifu
Mkuu .. vp hii hp envy 15 i7 8gb ram nvdia gt 830?
Unaenda kuifanyia nini hio laptop? Kwa matumizi ya kawaida inatosha kabisa
Kazi kubwa itakayofanya ni games tu mkuu
nitajie game lako kubwa zaidi, kama ni mpira haina neno itacheza pes na fifa ila kama utataka kucheza games kali mpya kama gta v, watch dog nk haitafaa